Polisi yanasa 40 wapya kwa kashfa ya makontena
Moto aliouwasha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye Bandari ya Dar es Salaam na kubaini upotevu mkubwa wa makontena na kuikosesha Serikali mapato umeendelea baada ya maofisa 40 wa mamlaka mbalimbali za umma kukamatwa na kurejeshwa kwa Sh10 bilioni zilizopotea kwa ukwepaji kodi. Â Â Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo13 Sep
Polisi yanasa wanne kwa tuhuma za kuua kwa ujira
POLISI mkoani Kagera, inashikilia watu wanne kwa tuhuma za kukodiwa kufanya mauaji yanayohusisha imani za kishirikina.
10 years ago
Habarileo05 Jan
Polisi yanasa mtandao wa `kigaidi’
JESHI la Polisi mkoani Ruvuma kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama, limefanikiwa kukitambua kikundi cha mtandao wa kigaidi.
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Polisi yanasa heroin gram 100
JESHI la Polisi jijini Arusha limefanikiwa kuwakamata watu wanne wakiwa na dawa za kulevya aina ya Heroin zenye uzito wa gramu 100, thamani yake ikiwa shilingi milioni 10. Kamanda wa...
11 years ago
Habarileo13 Mar
Polisi yanasa bunduki ya kivita, risasi 399
WATU wawili wakazi wa Kijiji cha Kitagasembe wamekamatwa na polisi wakituhumiwa kwa ujambazi wa kutumia silaha.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ykZ*wTWqMzb*fIbzElr8*704Fe30CcvGRGMYpKV3Jzo5eS4o188ehK2MwnX*DjDwv3xeh6qJl9vaM24rARAVdGIsDwhhm1S7/Dawa.gif?width=650)
OFM YANASA YANASA DAWA ZIKIUZWA KIHOLELA
11 years ago
MichuziPOLISI KILIMANJARO YANASA KIWANDA CHA KUTENGENEZA KONYAGI FEKI
11 years ago
MichuziPOLISI KILIMANJARO YANASA BUNDUKI MBILI ,MOJA IKIWA IMEFUNGWA HIRIZI.
9 years ago
Dewji Blog01 Dec
Jeshi la Polisi lawashikilia watuhumiwa kumi na mbili wa wizi wa Makontena
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Bw.Diwani Athumani (CP) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo katika picha) jana jijini Dar es Salaam kuhusu uchunguzi wa sakata la watuhumiwa wa wizi wa makontena 329.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Bw.Diwani Athumani (CP) alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu uchunguzi wa watuhumiwa wa wizi wa makontena kwa Mamlaka ya Bandari na Mamlaka ya Mapato Tanzania.
Na Nyakongo...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-IIhyt7ioc6I/VRZM44_tV0I/AAAAAAAARsA/zFSQX6C9FYQ/s72-c/Gwajima.jpg)
GWAJIMA AZIRAI AKIHOJIWA NA POLISI, NI KUFUATIA MANENO YA KASHFA DHIDI YA KADINALI PENGO
![](http://4.bp.blogspot.com/-IIhyt7ioc6I/VRZM44_tV0I/AAAAAAAARsA/zFSQX6C9FYQ/s1600/Gwajima.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-pnoiM0-Y6S8/VRY5LrxGAMI/AAAAAAAARrc/Dc3kkU_MJ58/s640/Josephat%2BGwajima.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-gm3V9mscam4/VRY5L7r8KYI/AAAAAAAARrk/apJSPbrvsL0/s640/Gwajima2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-DvFn21LrTys/VRY5XdsFPWI/AAAAAAAARrw/Fm687Ymv2mk/s640/gwaji.jpg)
Kiongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amezirai Ijumaa...