Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


POLISI KILIMANJARO YANASA BUNDUKI MBILI ,MOJA IKIWA IMEFUNGWA HIRIZI.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, Robert Boaz akizungumza na waandishi wa habari wakati akitoa taarifa ya kukamatwa kwa bunduki mbili pamoja na mali kadhaa kufuatia operesheni tokomeza uhalifu inayoendeshwa na Jeshi la Polisi mkoani Hapo. Kamanda Boaz akiwaonesha waandishi wa habari, bunduki mbili, ya kulia ni Shotgun Greener, ambayo imekatwa kitako pamoja na nyingine aina ya shotgun (ya kushoto), namba za usajili 68022, ambazo zinaaminika zimekuwa zikitumika katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Polisi yanasa bunduki ya kivita, risasi 399

WATU wawili wakazi wa Kijiji cha Kitagasembe wamekamatwa na polisi wakituhumiwa kwa ujambazi wa kutumia silaha.

 

11 years ago

Michuzi

POLISI KILIMANJARO YANASA KIWANDA CHA KUTENGENEZA KONYAGI FEKI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Robert Boaz akitizama sehemu ya mbele ya kiwanda cha kutengenezea Konyagi feki ambapo muonekano wake ni maduka na saloon. Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Robert Boaz akitembelea sehemu ya nyuma ya kiwanda cha kutengeneza Konyagi feki katika eneo la kambi ya raha Bomang'ombe wilayani Hai. Sehemu ya bidhaa zilizokamatwa katika kiwanda hicho zikiwa kituo cha polisi Bomang'ombe. Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Robert Boaz akionesha...

 

9 years ago

Global Publishers

Polisi Dar Wakamata Meno ya Tembo 156, Bunduki mbili

1.Kamanda wa kanda maalum wa kituo cha polisi (Centro) akionesha baadhi ya vipande vya bunduki mbili aina ya RIFLE zilizokamatwa katika oparesheni hiyo.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova  akionesha baadhi ya vipande vya bunduki zilizokamatwa  aina ya ‘RIFLE’ katika oparesheniiliyofanyika jana Temeke Sudan,  Dar.2,Kamanda Kova akionesha baadhi ya vipande vya meno ya Tembo kwa wanahabari.Kamanda Kova akionesha baadhi ya vipande vya meno ya Tembo kwa wanahabari.3...kamanda Kova akivishikilia viapnde hivyo.… Kova akivishikilia vipinde hivyo.4.Kamanda Kova akivitoa kwenye magunia yaliyokuwa yamehifadhi vipande hivyo vya meno ya Tembo.… Kova akivitoa kwenye magunia yaliyokuwa yamehifadhi vipande hivyo vya meno  ya Tembo.5.Wanahabari wakichukua tukio hilo.Wanahabari wakichukua tukio hilo.6.Kamishna wa polisi, Suleiman H. Kova (kushoto)akiongea na wanahabariKamishna wa polisi, Suleiman Kova (kushoto) akiongea na wanahabari.7.Baadhi ya vipande hivyo vya meno ya Tembo vilivyokamatwa.Baadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: JESHI LA POLISI MKOANI GEITA LAKAMATA BUNDUKI SABA ZILIZOPORWA KITUO CHA POLISI BUKOMBE, WATU WAWILI MBARONI NA MSAKO MKALI UNAENDELEA

 Habari zilizotufikia hivi punde zinasema Jeshi la polisi mkoani  Geita limekamata bunduki saba (pichani) na mabomu kadhaa ya machozi eneo la Ushirombo wilaya ya Bukombe ikisadikiwa kuwa ni kati ya bunduki kumi zilizoporwa na majambazi yaliyovamia kituo cha polisi Bukombe na kufanya mauaji ya askari polisi wawili waliokuwa zamu  jana. Bunduki hizo, nne zikiwa SMG na tatu aina ya Shotgun  pamoja na panga zimepatikana  katika tanuri la kuchomea matofali zikiwa zimefichwa pamoja na mabomu...

 

10 years ago

Habarileo

Polisi yanasa mtandao wa `kigaidi’

Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma, Mihayo MsikhelaJESHI la Polisi mkoani Ruvuma kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama, limefanikiwa kukitambua kikundi cha mtandao wa kigaidi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi yanasa heroin gram 100

JESHI la Polisi jijini Arusha limefanikiwa kuwakamata watu wanne wakiwa na dawa za kulevya aina ya Heroin zenye uzito wa gramu 100, thamani yake ikiwa shilingi milioni 10. Kamanda wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi yanasa 40 wapya kwa kashfa ya makontena

Moto aliouwasha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye Bandari ya Dar es Salaam na kubaini upotevu mkubwa wa makontena na kuikosesha Serikali mapato umeendelea baada ya maofisa 40 wa mamlaka mbalimbali za umma kukamatwa na kurejeshwa kwa Sh10 bilioni zilizopotea kwa ukwepaji kodi.     

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi yakamata bunduki 16 za Stakishari

Jeshi la Polisi limesema limeshakamata bunduki 16 kati ya 21 zilizoporwa kwenye Kituo cha Stakishari.

 

9 years ago

GPL

OFM YANASA YANASA DAWA ZIKIUZWA KIHOLELA

Ramadhani na Mayasa Mariwata NIhatari! Shirika la Afya la Dunia (WHO) limetoa ripoti na kubainisha kwamba dawa za kutibu maradhi ya kuharisha, vichomi, maambukizi ya kwenye njia ya mkojo (U.T.I), mafua na magonjwa kama ya zinaa mfano kaswende na kisonono sasa zimekuwa sugu.  ..Soma zaidi===>http://bit.ly/1J7E0L4

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani