Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi yakamata bunduki 16 za Stakishari

Jeshi la Polisi limesema limeshakamata bunduki 16 kati ya 21 zilizoporwa kwenye Kituo cha Stakishari.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Polisi yakamata silaha zilizoibwa Stakishari

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata bunduki 14 na risasi 28 zilizoporwa katika kituo cha polisi cha Stakshari.

 

9 years ago

GPL

POLISI YAKAMATA BUNDUKI, BANGI, NYARA ZA SERIKALI

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai CP, Diwan Athuman, akitoa taarifa yake. Wanahabari wakichukua matukio. CP Athuman akifanua jambo. Wanahabari wakisikiliza kwa makini kilichokuwa kikiendelea kwenye hafla hiyo. JESHI la polisi nchini kwa kushirikiana na ofisi za polisi wa kimataifa,…

 

10 years ago

GPL

KITUO CHA POLISI STAKISHARI-UKONGA CHAVAMIWA, POLISI WAUAWA NA KUPORWA SILAHA

WATU wanaodhaniwa kuwa magaidi wamevamia Kituo cha Polisi Stakishari kilichopo Ukonga jijini Dar es Salaam, jana usiku na kuua askari na raia kisha kupora silaha. Kwa mujibu wa taarifa za awali ambazo bado hazijathibitishwa na Jeshi la Polisi ni kwamba watu hao walifika kituoni hapo wakiwa katika pikipiki wakidai kwamba walikuwa wamembeba mtu aliyepata ajali wakihitaji msaada wa polisi kabla ya kuwabadilikia ghafla na kuanza...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: JESHI LA POLISI MKOANI GEITA LAKAMATA BUNDUKI SABA ZILIZOPORWA KITUO CHA POLISI BUKOMBE, WATU WAWILI MBARONI NA MSAKO MKALI UNAENDELEA

 Habari zilizotufikia hivi punde zinasema Jeshi la polisi mkoani  Geita limekamata bunduki saba (pichani) na mabomu kadhaa ya machozi eneo la Ushirombo wilaya ya Bukombe ikisadikiwa kuwa ni kati ya bunduki kumi zilizoporwa na majambazi yaliyovamia kituo cha polisi Bukombe na kufanya mauaji ya askari polisi wawili waliokuwa zamu  jana. Bunduki hizo, nne zikiwa SMG na tatu aina ya Shotgun  pamoja na panga zimepatikana  katika tanuri la kuchomea matofali zikiwa zimefichwa pamoja na mabomu...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi Stakishari matatani

Polisi wa Kituo cha Stakishari Ukonga wilayani Ilala wanatuhumiwa kusababisha kifo cha mkazi wa Karakata, Liberati Matemu (55), aliyefariki juzi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

 

10 years ago

GPL

UKWELI MAUAJI POLISI STAKISHARI

Na Timu ya Uwazi TAKRIBANI siku 9 tangu kutokea kwa uporaji wa silaha na mauaji ya askari wanne na raia watatu katika Kituo cha Polisi Stakishari jijini Dar es Salaam, moshi mweupe wa ukweli umenza kufuka. Uchunguzi na vyanzo mbalimbali vya habari wakiwemo polisi ambao hawakutaka kutajwa majina yao, umesaidia timu ya waandishi wetu kubaini jinsi tukio hilo la kinyama lilivyofanyika....habari na picha zote...

 

10 years ago

Habarileo

Mauaji Stakishari yaibua mapya Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Ernest Mangu, akitoa tamko juu ya tukio la Stakishari la kuuawa kwa polisi na raia kulikofanywa na majambazi.JESHI la Polisi nchini jana liliwaaga kwa heshima zote za kijeshi askari wake wawili kati ya wanne waliouawa wakiwa katika kituo cha kazi cha Stakishari, Ukonga jijini Dar es Salaam, huku likiahidi kufanya mapinduzi kadhaa ya kiutendaji.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi Tabora wakamata bunduki 9 za kienyeji

JESHI la Polisi mkoani Tabora limeendelea kuimarisha ulinzi na usalama katika msimu wa sikukuu za mwishoni mwa mwaka na kufanikiwa kukamata bunduki tisa za kienyeji aina ya gobori wilayani Nzega.

 

10 years ago

GPL

POLISI WAPORWA BUNDUKI TANGA JANA

Muonekano wa askari hao baada ya kuvamia na kuwajeruhi siku ya jana Tanga. Watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wamewavamia na kuwajeruhi askari mwenye no G369 PC Mansour na Hv507 PC Mwalimu, wakiwa doria ya pikipiki ambao walinyang'anywa silaha mbili aina ya SMG no 14301230 na 14303545 na watu wasio julikana mkoani Tanga. Mchoro wa ramani unaoonyesha matokeo ya Barabara Tanga. Taarifa yaJeshi hilo kwa vyombo vya habari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani