Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi Stakishari matatani

Polisi wa Kituo cha Stakishari Ukonga wilayani Ilala wanatuhumiwa kusababisha kifo cha mkazi wa Karakata, Liberati Matemu (55), aliyefariki juzi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KITUO CHA POLISI STAKISHARI-UKONGA CHAVAMIWA, POLISI WAUAWA NA KUPORWA SILAHA

WATU wanaodhaniwa kuwa magaidi wamevamia Kituo cha Polisi Stakishari kilichopo Ukonga jijini Dar es Salaam, jana usiku na kuua askari na raia kisha kupora silaha. Kwa mujibu wa taarifa za awali ambazo bado hazijathibitishwa na Jeshi la Polisi ni kwamba watu hao walifika kituoni hapo wakiwa katika pikipiki wakidai kwamba walikuwa wamembeba mtu aliyepata ajali wakihitaji msaada wa polisi kabla ya kuwabadilikia ghafla na kuanza...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi yakamata bunduki 16 za Stakishari

Jeshi la Polisi limesema limeshakamata bunduki 16 kati ya 21 zilizoporwa kwenye Kituo cha Stakishari.

 

10 years ago

GPL

UKWELI MAUAJI POLISI STAKISHARI

Na Timu ya Uwazi TAKRIBANI siku 9 tangu kutokea kwa uporaji wa silaha na mauaji ya askari wanne na raia watatu katika Kituo cha Polisi Stakishari jijini Dar es Salaam, moshi mweupe wa ukweli umenza kufuka. Uchunguzi na vyanzo mbalimbali vya habari wakiwemo polisi ambao hawakutaka kutajwa majina yao, umesaidia timu ya waandishi wetu kubaini jinsi tukio hilo la kinyama lilivyofanyika....habari na picha zote...

 

10 years ago

Habarileo

Mauaji Stakishari yaibua mapya Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Ernest Mangu, akitoa tamko juu ya tukio la Stakishari la kuuawa kwa polisi na raia kulikofanywa na majambazi.JESHI la Polisi nchini jana liliwaaga kwa heshima zote za kijeshi askari wake wawili kati ya wanne waliouawa wakiwa katika kituo cha kazi cha Stakishari, Ukonga jijini Dar es Salaam, huku likiahidi kufanya mapinduzi kadhaa ya kiutendaji.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi yakamata silaha zilizoibwa Stakishari

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata bunduki 14 na risasi 28 zilizoporwa katika kituo cha polisi cha Stakshari.

 

9 years ago

Mtanzania

Walioua polisi Stakishari wasomewa mashtaka upya

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

UPANDE wa Jamhuri umewasomea upya mashtaka watuhumiwa 10 wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya watu saba wakiwamo askari.

Watu hao walifanya mauaji hayo kwenye    Kituo cha Polisi Stakishari wilayani Ilala, Dar es Salaam.

Mashtaka hayo yalisomwa upya jana  jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi, Thomas Simba.

Walisomewa mashtaka hayo muda mfupi baada ya kufutiwa kesi.

Kesi ilifutwa  baada ya Wakili wa Serikali Mwandamizi, Hellen Moshi...

 

9 years ago

Mwananchi

Kortini kwa mauaji ya polisi na raia Stakishari

Idadi ya washtakiwa waliofikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka saba ya mauaji ya maofisa wanne wa polisi na raia watatu katika kituo cha jeshi hilo cha Stakishari, imeongezeka hadi kufikia 10.

 

10 years ago

Dewji Blog

THBUB yalaani mauaji ya askari polisi na raia Stakishari — DSM

MB1

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Tom Nyanduga.

Tamko la THBUB kulaani Mauaji ya Polisi Stakishari-DSM.pdf 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani