Walioua polisi Stakishari wasomewa mashtaka upya
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
UPANDE wa Jamhuri umewasomea upya mashtaka watuhumiwa 10 wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya watu saba wakiwamo askari.
Watu hao walifanya mauaji hayo kwenye Kituo cha Polisi Stakishari wilayani Ilala, Dar es Salaam.
Mashtaka hayo yalisomwa upya jana jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi, Thomas Simba.
Walisomewa mashtaka hayo muda mfupi baada ya kufutiwa kesi.
Kesi ilifutwa baada ya Wakili wa Serikali Mwandamizi, Hellen Moshi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo22 Jan
Mwale na wenzake wasomewa mashtaka
MWANASHERIA na wakili maarufu wa kujitegemea wa jijini hapa, Medium Mwale anayemiliki kampuni ya uwakili ya JJ Mwale Advocates na wenzake watatu jana walisomewa mashitaka mapya 42 ya utakatishaji fedha haramu, kula njama na kughushi baadhi ya nyaraka na kujipatia kiasi cha Sh bilioni 18.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR4ur97VhIdHrwwacMHra1YOjmjnrzAl7RP7DI3YZHKtOrvI*epTTORCUd5H4PNqWuicflqHnYJzsmc*IltS4ZSd/BREAKING.gif)
KITUO CHA POLISI STAKISHARI-UKONGA CHAVAMIWA, POLISI WAUAWA NA KUPORWA SILAHA
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Diwani: Polisi walioua washitakiwe
DIWANI wa Shume, Rashird Kisimbo, amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuwakamata na kuwafungulia mashitaka ya mauaji askari wake sita wa Kituo cha Polisi Lushoto wanaotuhumiwa kumuua raia mmoja na kujeruhi...
10 years ago
Mtanzania23 Jan
Polisi: Tutawatia mbaroni walioua askari
Asifiwe George na Juma Hezron (TSJ), Dar es Salaam,
JESHI la Polisi limesema linaendelea na msako mkali wa kuwabaini watu wanaodaiwa kuhusika na tukio la kuuawa kwa askari polisi wawili wilayani Rufiji.
Watu hao wanaodaiwa kuwa majambazi, walivamia Kituo cha Polisi Ikwiriri ambapo waliua askari wawili na kuiba silaha.
Akizungumza na MTANZANIA, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Paul Chagonja, alisema pamoja na kuendelea na kazi hiyo, lakini kwa sasa hawezi kuzungumza kwa undani tukio hilo...
10 years ago
Habarileo27 Jan
Walioua polisi wasakwa usiku na mchana
JESHI la polisi mkoani Pwani linaendelea na msako mkali kutafuta watu walioua askari wawili wa jeshi hilo na kuiba silaha katika kituo cha polisi Ikwiriri wilayani Rufiji.
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Polisi Stakishari matatani
10 years ago
Mwananchi07 Aug
Polisi yakamata bunduki 16 za Stakishari
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nMkb-Djjb3egSS7YqUZ2j9p10Xq9Hcr4UqAPNFTiHtyGqA-c7gWezeSsOWtIyBEyfmEhdtDnIDjzcJNmKnyOgkBySUqNfQJj/FRONTUWAZI.gif?width=650)
UKWELI MAUAJI POLISI STAKISHARI
10 years ago
Habarileo16 Jul
Mauaji Stakishari yaibua mapya Polisi
JESHI la Polisi nchini jana liliwaaga kwa heshima zote za kijeshi askari wake wawili kati ya wanne waliouawa wakiwa katika kituo cha kazi cha Stakishari, Ukonga jijini Dar es Salaam, huku likiahidi kufanya mapinduzi kadhaa ya kiutendaji.