Mwale na wenzake wasomewa mashtaka
MWANASHERIA na wakili maarufu wa kujitegemea wa jijini hapa, Medium Mwale anayemiliki kampuni ya uwakili ya JJ Mwale Advocates na wenzake watatu jana walisomewa mashitaka mapya 42 ya utakatishaji fedha haramu, kula njama na kughushi baadhi ya nyaraka na kujipatia kiasi cha Sh bilioni 18.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania13 Nov
Walioua polisi Stakishari wasomewa mashtaka upya
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
UPANDE wa Jamhuri umewasomea upya mashtaka watuhumiwa 10 wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya watu saba wakiwamo askari.
Watu hao walifanya mauaji hayo kwenye Kituo cha Polisi Stakishari wilayani Ilala, Dar es Salaam.
Mashtaka hayo yalisomwa upya jana jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi, Thomas Simba.
Walisomewa mashtaka hayo muda mfupi baada ya kufutiwa kesi.
Kesi ilifutwa baada ya Wakili wa Serikali Mwandamizi, Hellen Moshi...
10 years ago
Mtanzania22 Jan
Wakili Mwale asomewa mashtaka 42 ya utakatishaji fedha haramu
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
WAKILI maarufu jijini Arusha, Medium Mwale na wenzake watatu, wamesomewa mashtaka 42 yanayohusu utakatishaji wa fedha haramu, kughushi nyaraka na kukutwa na mali zilizopatikana kwa njia za uhalifu.
Watuhumiwa hao walisomewa mashtaka ya awali jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mustapha Siyani kabla ya kesi hiyo haijapelekwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha kwa kuanza kusikilizwa.
Akisoma maelezo hayo ya awali, Wakili...
11 years ago
Mwananchi13 Oct
Fuime na wenzake wafutiwa mashtaka
11 years ago
Michuzi
Mkurugenzi wa zamani wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime na wenzake 11 wasomea upya mashtaka 27 ya mauji katika ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16,jijini dar

Mbali na Fuime washtakiwa wengine ni, Diwani wa Kata ya Goba, Ibrahim Mohamed maarufu kama Kisoki, Raza Ladha, Goodluck Mbanga, Willbroad Mugyabuso,Mohamed Abdulkarim, Charles Ogare, Zonazea Oushoudada, Vedasto Ruhale,...
11 years ago
Habarileo30 Apr
Wakili: Kesi ya Mwale ilifunguliwa kimakosa
UPANDE wa utetezi kwenye kesi ya wakili maarufu jijini hapa, Median Mwale na wenzake watatu ya kutakatisha fedha haramu, umedai mashitaka hayo dhidi ya washitakiwa, yalifunguliwa kimakosa kabla ya sheria iliyowashitaki kutungwa.
9 years ago
Mwananchi29 Nov
Kesi ya Mwale yaanza kunguruma Arusha
9 years ago
Habarileo05 Dec
Malumbano ya kisheria yatawala kesi ya Mwale
MALUMBANO ya kisheria yameibuka jana baina ya mawakili upande wa Serikali na utetezi katika kesi ya utakatishaji fedha inayowakabili washtakiwa wanne akiwemo wakili maarufu wa jijini Arusha, Median Mwale hali iliyosababisha Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha kuendesha kesi ndani ya kesi.
9 years ago
Habarileo10 Dec
Shahidi aeleza Mwale ‘alivyocheza’ na akaunti
SHAHIDI wa kwanza katika kesi inayomkabili wakili maarufu hapa, Median Mwale na wenzake watatu, Ofisa wa Jeshi la Polisi, Fadhili Mdem, ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, kuwa Mwale alipokea dola za Marekani kutoka akaunti ya Moyale Precious Gems Mineral and Enterprise Ltd iliyofunguliwa ikiwa na upungufu wa nyaraka.
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Mawakili kesi ya Mwale waja juu
MAWAKILI wa utetezi kwenye shauri la utakatishaji fedha linalowakabili washitakiwa wanne akiwemo wakili maarufu, jijini hapa, Median Mwale, wameibua hoja juu ya uhalali wa kutumika kwa sheria ya kuzuia utakatishaji...