Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fuime na wenzake wafutiwa mashtaka

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewafutia mashtaka ya mauaji ya kukusudia aliyekuwa mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime na wenzake 11 na badala yake imeamuru washtakiwe kwa mauaji ya kuua bila kukusudia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mkurugenzi wa zamani wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime na wenzake 11 wasomea upya mashtaka 27 ya mauji katika ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16,jijini dar

MKURUGENZI wa Mashitaka Nchini (DPP), amemfutia mashitaka aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime (61) na kisha kumuunganisha na wenzake 11 na kuwasomea upya mashtaka 27 ya mauji katika mtaa wa Indira Gandh, yaliyotokana na kuporomoka jengo la ghorofa 16.
Mbali na Fuime washtakiwa wengine ni, Diwani wa Kata ya Goba, Ibrahim Mohamed maarufu kama Kisoki, Raza Ladha, Goodluck Mbanga, Willbroad Mugyabuso,Mohamed Abdulkarim, Charles Ogare, Zonazea Oushoudada, Vedasto Ruhale,...

 

10 years ago

Habarileo

Mwale na wenzake wasomewa mashtaka

MWANASHERIA na wakili maarufu wa kujitegemea wa jijini hapa, Medium Mwale anayemiliki kampuni ya uwakili ya JJ Mwale Advocates na wenzake watatu jana walisomewa mashitaka mapya 42 ya utakatishaji fedha haramu, kula njama na kughushi baadhi ya nyaraka na kujipatia kiasi cha Sh bilioni 18.

 

10 years ago

Mwananchi

Kina Fuime washtakiwa upya

Siku chache baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuwafutia mashtaka ya mauaji ya kukusudia aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime na wenzake 11, hatimaye jana walisomewa mashtaka mengine mapya ya kuua bila ya kukusudia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

11 years ago

Mwananchi

Wachimbaji 174 wafutiwa leseni

Wizara ya Nishati na Madini imefuta jumla ya leseni 174 za utafutaji madini na leseni moja ya uchimbaji mkubwa wa madini kutokana na kukiuka taratibu na sheria za madini nchini.

 

11 years ago

Habarileo

Wafutiwa mashitaka, washitakiwa tena

OFISI ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini imewafutia mashitaka washitakiwa tisa wa kesi ya kukutwa na dawa za kulevya zenye thamani ya Sh milioni 149.7 na kisha kuwafungulia tena mashitaka hayo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Madereva wanane wafutiwa leseni

Meneja Mawasiliano wa SUMATRA, David MzirayMAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchikavu na Majini (SUMATRA) imewafutia leseni madereva wanane, waliosababisha ajali kwa uzembe na hawataruhusiwa kuendesha mabasi ya abiria.

 

11 years ago

IPPmedia

Former Ilala Municipal Executive Director Gabriel Fuime


IPPmedia
Former Ilala Municipal Executive Director Gabriel Fuime
IPPmedia
The 11 people accused of manslaughter following the March 2013 collapse of a 14-storey building in Dar es Salaam in which 27 people were killed were yesterday charged with murder. The prosecution also joined their case with that of the former Ilala ...

 

9 years ago

Mwananchi

Wafuasi wa Chadema wafutiwa kesi ya unyang’anyi wa silaha

Mahakama ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, imewafutia kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha wafuasi watatu wa Chadema baada ya kukosa ushahidi wa kuwatia hatiani.

 

10 years ago

Mwananchi

Wawili wafutiwa usajili wao Ligi Daraja la Pili

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imepitisha usajili wa Ligi Daraja la Pili (SDL) huku ikikata majina mawili ya wachezaji katika klabu za Abajalo ya Dar es Salaam na Magereza ya Iringa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani