Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kina Fuime washtakiwa upya

Siku chache baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuwafutia mashtaka ya mauaji ya kukusudia aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime na wenzake 11, hatimaye jana walisomewa mashtaka mengine mapya ya kuua bila ya kukusudia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mkurugenzi wa zamani wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime na wenzake 11 wasomea upya mashtaka 27 ya mauji katika ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16,jijini dar

MKURUGENZI wa Mashitaka Nchini (DPP), amemfutia mashitaka aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime (61) na kisha kumuunganisha na wenzake 11 na kuwasomea upya mashtaka 27 ya mauji katika mtaa wa Indira Gandh, yaliyotokana na kuporomoka jengo la ghorofa 16.
Mbali na Fuime washtakiwa wengine ni, Diwani wa Kata ya Goba, Ibrahim Mohamed maarufu kama Kisoki, Raza Ladha, Goodluck Mbanga, Willbroad Mugyabuso,Mohamed Abdulkarim, Charles Ogare, Zonazea Oushoudada, Vedasto Ruhale,...

 

10 years ago

Mwananchi

Fuime na wenzake wafutiwa mashtaka

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewafutia mashtaka ya mauaji ya kukusudia aliyekuwa mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime na wenzake 11 na badala yake imeamuru washtakiwe kwa mauaji ya kuua bila kukusudia.

 

11 years ago

IPPmedia

Former Ilala Municipal Executive Director Gabriel Fuime


IPPmedia
Former Ilala Municipal Executive Director Gabriel Fuime
IPPmedia
The 11 people accused of manslaughter following the March 2013 collapse of a 14-storey building in Dar es Salaam in which 27 people were killed were yesterday charged with murder. The prosecution also joined their case with that of the former Ilala ...

 

10 years ago

Michuzi

GABRIEL FUIME AFUTIWA KESI YA MAUAJI NA KUWA MAUAJI BILA KUKUSUDIA

 Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime akifikishwa mahakamani wakati wa hatua za awali za kesi hiyo. ------------------------Na Mwene Said wa Globu ya Jamii MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imefuta  mwenendo wa kesi ya mauaji iliyofunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini dhidi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime na wenzake 11, wanaohusishwa na kuporomoka kwa jingo la ghorofa 16 katika mtaa wa Indira Gandh na kuua watu 27...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waliojaribu kujiunga na IS washtakiwa

Wanaume wawili wamefikishwa mbele ya mahakama Jijini New York kwa mashtaka ya kupanga kwenda Syria ili kujiunga na is

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanaume 13 washtakiwa kwa udhalilishaji

Wanaume 13 asili ya Somalia washtakiwa kwa udhalilishaji dhidi ya Watoto wa kike

 

9 years ago

Mwananchi

Washtakiwa TRA wapata dhamana

Washtakiwa wanne katika kesi ya uhujumu uchumi na kuisababishia hasara Serikali ya Sh 12.7 bilioni katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wamepata dhamana na kufanya idadi ya waliopata dhamana kufikia saba.

 

9 years ago

BBCSwahili

Waisraeli washtakiwa kuua Wapalestina

Maafisa wa mashtaka nchini Israel wamewashtaki washukiwa wawili kuhusiana na shambulio katika nyumba moja ya Wapalestina eneo la Ukingo Magharibi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Washtakiwa kwa kutaka kujiunga na IS

Watu watatu wenyeji wa mji wa New York nchini Marekani wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya kujaribu kuwasaidia IS

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani