Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diwani: Polisi walioua washitakiwe

DIWANI wa Shume, Rashird Kisimbo, amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuwakamata na kuwafungulia mashitaka ya mauaji askari wake sita wa Kituo cha Polisi Lushoto wanaotuhumiwa kumuua raia mmoja na kujeruhi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Walioua polisi wasakwa usiku na mchana

JESHI la polisi mkoani Pwani linaendelea na msako mkali kutafuta watu walioua askari wawili wa jeshi hilo na kuiba silaha katika kituo cha polisi Ikwiriri wilayani Rufiji.

 

10 years ago

Mtanzania

Polisi: Tutawatia mbaroni walioua askari

SSSAsifiwe George na Juma Hezron (TSJ), Dar es Salaam,
JESHI la Polisi limesema linaendelea na msako mkali wa kuwabaini watu wanaodaiwa kuhusika na tukio la kuuawa kwa askari polisi wawili wilayani Rufiji.
Watu hao wanaodaiwa kuwa majambazi, walivamia Kituo cha Polisi Ikwiriri ambapo waliua askari wawili na kuiba silaha.
Akizungumza na MTANZANIA, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Paul Chagonja, alisema pamoja na kuendelea na kazi hiyo, lakini kwa sasa hawezi kuzungumza kwa undani tukio hilo...

 

9 years ago

Mtanzania

Walioua polisi Stakishari wasomewa mashtaka upya

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

UPANDE wa Jamhuri umewasomea upya mashtaka watuhumiwa 10 wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya watu saba wakiwamo askari.

Watu hao walifanya mauaji hayo kwenye    Kituo cha Polisi Stakishari wilayani Ilala, Dar es Salaam.

Mashtaka hayo yalisomwa upya jana  jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi, Thomas Simba.

Walisomewa mashtaka hayo muda mfupi baada ya kufutiwa kesi.

Kesi ilifutwa  baada ya Wakili wa Serikali Mwandamizi, Hellen Moshi...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai, pia amteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola kuongoza Idara ya Intelijensia ya Jinai

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani  Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wanaowaficha walemavu washitakiwe’

SERIKALI mkoani Pwani imeombwa kuwachukulia hatua za kisheria wazazi wenye tabia ya kuwaficha watoto wenye ulemavu kwa kuwa kitendo hicho kinawanyima haki za msingi ikiwemo kusoma. Wito huo ulitolewa juzi...

 

10 years ago

Vijimambo

Maaskofu: Watuhumiwa wa Escrow washitakiwe


  Wataka katiba isiharakishwe  Wadai tume huru ya uchaguzi

Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa, akihubiri wakati wa Ibada ya sikukuu ya Krismas katika Kanisa Kuu la KKKT Azania Front jijini Dar es Salaam jana.(Picha: Khalfan Said).
Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo nchini, wamemtaka Rais Jakaya Kikwete, kutowaonea haya viongozi wasiokuwa waadilifu wanaokwenda kinyume cha maadili katika kushughulikia mambo mbalimbali.

Kama vile fedha...

 

11 years ago

BBCSwahili

Amnesty:Washukiwa CAR washitakiwe

Shirika la kimataifa la Amnesty International, linataka uchunguzi ufanywe kuhusu uhalifu wa kivita CAR

 

9 years ago

BBCSwahili

'Walioua 14 Marekani wangeua mamia'

Shirika la kijasusi la Marekani FBI limegundua kuwa waliohusika katika shambulio jana la kuua watu 14 nchini Marekani walikuwa na silaha za kutosha na mabomu ya kuua mamia ya watu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Netanyahu: walioua wanajeshi watakiona

Waziri Mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu amesema wote waliohusika na mashambulizi dhidi ya msafara wa majeshi ya Israel watalipa gharama ya waliyoyafanya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani