Netanyahu: walioua wanajeshi watakiona
Waziri Mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu amesema wote waliohusika na mashambulizi dhidi ya msafara wa majeshi ya Israel watalipa gharama ya waliyoyafanya.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania18 Sep
Watakiona
*Dk. Magufuli: Siku zao zinahesabika
*Lowassa asema akiingia Ikulu hataki mchezo
Bakari Kimwanga, Kigoma na Maregesi Paul, Bariadi
MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema iwapo atachaguliwa kuwa rais, atahakikisha anakomesha vitendo mbalimbali vya kihalifu nchini ukiwamo ujambazi.
Mgombea huyo pia ametoa onyo kwa watu wasioitakia mema Tanzania wanaoingiza nchini silaha haramu na kusema kuwa siku zao zinahesabika.
Wakati Dk. Magufuli akitoa onyo hilo,...
10 years ago
Mwananchi01 Jul
Shein: Watakaoivuruga Zanzibar watakiona
11 years ago
BBCSwahili05 Dec
Makasisi watakaowanajisi watoto watakiona
9 years ago
Mwananchi25 Aug
Magufuli: Wanaoiba dawa hospitalini watakiona cha moto
9 years ago
BBCSwahili04 Dec
'Walioua 14 Marekani wangeua mamia'
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Diwani: Polisi walioua washitakiwe
DIWANI wa Shume, Rashird Kisimbo, amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuwakamata na kuwafungulia mashitaka ya mauaji askari wake sita wa Kituo cha Polisi Lushoto wanaotuhumiwa kumuua raia mmoja na kujeruhi...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Walioua faru wasakwa kila kona
WIZARA ya Maliasili na Utalii imetuma kikosi maalumu cha askari 20 kuwasaka majangili walioua faru na kuchukua pembe zake, usiku wa kuamkia jana katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Mbali...
10 years ago
Mtanzania23 Jan
Polisi: Tutawatia mbaroni walioua askari
Asifiwe George na Juma Hezron (TSJ), Dar es Salaam,
JESHI la Polisi limesema linaendelea na msako mkali wa kuwabaini watu wanaodaiwa kuhusika na tukio la kuuawa kwa askari polisi wawili wilayani Rufiji.
Watu hao wanaodaiwa kuwa majambazi, walivamia Kituo cha Polisi Ikwiriri ambapo waliua askari wawili na kuiba silaha.
Akizungumza na MTANZANIA, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Paul Chagonja, alisema pamoja na kuendelea na kazi hiyo, lakini kwa sasa hawezi kuzungumza kwa undani tukio hilo...
11 years ago
Habarileo09 Jul
Wanafunzi walioua mwalimu jela miaka 6
VIJANA wawili waliokuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Chemchem wilayani Mkalama katika Mkoa wa Singida, wamehukumiwa kifungo cha miaka sita kila mmoja baada ya Mahakama kuwatia hatiani kwa kosa la mauaji ya mwalimu wao. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma inayoendesha vikao vyake mjini Singida, ilitoa hukumu hiyo jana.