Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli: Wanaoiba dawa hospitalini watakiona cha moto

Sumbawanga. Mgombea wa urais kupitia CCM, Dk John Magufuli ameendelea kumwaga ahadi mikoa ya Katavi na Rukwa na kuahidi kuwa iwapo atachaguliwa kuwa rais wahudumu wanaoiba dawa katika hospitali nchini watakiona cha moto.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mtumishi adaiwa kuiba dawa hospitalini

Polisi wilayani Rufiji, mkoani Pwani inamshikilia mtumishi wa hospitali ya wilaya ya Rufiji (jina linahifadhiwa) kwa tuhuma za wizi wa makopo 48 ya dawa za antibiotic katika hospitali hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Wizi wa dawa hospitalini waitesa serikali

Serikali kupitia Wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia watoto na wazee  imesema  kati ya asilimia 70 ya dawa zinazotolewa na serikali kwenda kwenye hospitali na vituo vya afya  ni asilimia 30 pekee huwafikia walengwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Moto waua wagonjwa 21 hospitalini Korea

Moto Uliozuka Hospitalini umewauwa watu 21 Nchini Korea Kusini. Wagonjwa wapatao 20 pamoja muuguzi mmoja wameuawa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi tupaze sauti kukemea ukosefu wa dawa hospitalini

HIVI karibuni iliripotiwa kuwa hospitali za umma zinakabiliwa na uhaba wa dawa na vifaatiba, hali inayowaathiri zaidi wananchi wa kipato cha chini. Kuathirika huko kwa wananchi kunatokana na ukweli kwamba...

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT: Rais Magufuli amjulia hali Mzee Mangula Hospitalini Muhimbili


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo tarehe 29 Februari, 2020 amemtembelea na kumjulia hali Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula ambaye amelazwa katika chumba cha uangalizi maalum katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.Ndg. Mangula aliugua ghafla jana na kisha kukimbizwa hospitali kwa matibabu.

 

9 years ago

Mtanzania

Watakiona

Print*Dk. Magufuli: Siku zao zinahesabika

*Lowassa asema akiingia Ikulu hataki mchezo

 

Bakari Kimwanga, Kigoma na Maregesi Paul, Bariadi

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema iwapo atachaguliwa kuwa rais, atahakikisha anakomesha vitendo mbalimbali vya kihalifu nchini ukiwamo ujambazi.

Mgombea huyo pia ametoa onyo kwa watu wasioitakia mema Tanzania wanaoingiza nchini silaha haramu na kusema kuwa siku zao zinahesabika.

Wakati Dk. Magufuli akitoa onyo hilo,...

 

10 years ago

Habarileo

Mwigulu akerwa na wanaoiba mali za umma na kujiuzulu

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba.NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema wabadhirifu wa mali za umma wakiwemo wakwepa kodi, hawapaswi kujiuzulu nyadhifa zao, bali wafilisiwe mali.

 

10 years ago

Mwananchi

Shein: Watakaoivuruga Zanzibar watakiona

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amewataka wanasiasa Visiwani kuacha kutumia Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kama ngao ya kuvuruga amani kinyume na madhumuni ya kuanzishwa kwake mwaka 2010.

 

10 years ago

BBCSwahili

Netanyahu: walioua wanajeshi watakiona

Waziri Mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu amesema wote waliohusika na mashambulizi dhidi ya msafara wa majeshi ya Israel watalipa gharama ya waliyoyafanya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani