Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizi wa dawa hospitalini waitesa serikali

Serikali kupitia Wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia watoto na wazee  imesema  kati ya asilimia 70 ya dawa zinazotolewa na serikali kwenda kwenye hospitali na vituo vya afya  ni asilimia 30 pekee huwafikia walengwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MSD kuweka nembo za Serikali kwenye dawa zake, wizi wa dawa kudhibitiwa

Serikali imeamua kuwa itahakikisha dawa zote katika Mahospitali na Vituo vya afya zinapatikana wakati wote. Na kama ambavyo ahadi hiyo imekuwa ikinadiwa na Rais Dkt. Magufuli katika kampeni zake, sasa ni hatua ya utekelezaji wa ahadi hii kwa wananchi umefikia wakati.

Katika kulitekeleza hilo, Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD),Cosmas Mwaifwani aliagizwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Donan Mmbando kwa niaba ya Rais, kuhakikisha kuwa dawa zote za Serikali zinakuwa na utambulisho...

 

10 years ago

Habarileo

BRN kudhibiti wizi wa dawa za serikali

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema baada ya kuingizwa katika Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) itadhibiti wizi wa dawa za serikali kwa kuweka alama ya GT (Government of Tanzania) katika dawa zote.

 

9 years ago

Vijimambo

BI. SAMIA SULUHU AHAIDI KUDHIBITI WIZI WA DAWA HOSPITALI ZA SERIKALI

Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku akiwaonesha ilani ya chama hicho na kuainisha mipango mizuri ambayo imewekwa katika kuimarisha huduma katika sekta mbalimbali. Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku akiwaonesha ilani ya chama hicho na kuainisha mipango mizuri ambayo imewekwa katika kuimarisha huduma katika sekta mbalimbali.Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam jana. Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam jana.Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam jana. Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na...

 

9 years ago

Michuzi

BI. SAMIA SULUHU AHIDI KUDHIBITI WIZI WA DAWA HOSPITALI ZA SERIKALI

Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku akiwaonesha ilani ya chama hicho na kuainisha mipango mizuri ambayo imewekwa katika kuimarisha huduma katika sekta mbalimbali. Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku akiwaonesha ilani ya chama hicho na kuainisha mipango mizuri ambayo imewekwa katika kuimarisha huduma katika sekta mbalimbali.Meya wa Ilala Jerry Slaa ambaye pia ni mgombea ubunge CCM Jimbo la Ukonga akizungumza katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam. Meya wa Ilala Jerry Slaa ambaye pia ni mgombea ubunge CCM Jimbo la Ukonga akizungumza katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam jana. Baadhi ya wanachama wa Chama...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtumishi adaiwa kuiba dawa hospitalini

Polisi wilayani Rufiji, mkoani Pwani inamshikilia mtumishi wa hospitali ya wilaya ya Rufiji (jina linahifadhiwa) kwa tuhuma za wizi wa makopo 48 ya dawa za antibiotic katika hospitali hiyo.

 

11 years ago

Mtanzania

Madaktari bingwa waitesa Serikali

Makao makuu Wizara ya Afya

Makao makuu Wizara ya Afya

Na Asifiwe George, Dar es Salaam

TANZANIA inakabiliwa na uhaba wa madaktari bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu.

Hadi sasa madaktari bingwa waliopo nchini ni watano hali inayowalazimu kufanya kazi kuliko uwezo wao, kwa mujibu wa taaluma ya upasuaji.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Tiba ya Upasuaji wa Mifupa ya Fahamu (MOI), Dk. Othman Kiloloma, alisema hadi sasa kuna madaktari bingwa watano tu wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi tupaze sauti kukemea ukosefu wa dawa hospitalini

HIVI karibuni iliripotiwa kuwa hospitali za umma zinakabiliwa na uhaba wa dawa na vifaatiba, hali inayowaathiri zaidi wananchi wa kipato cha chini. Kuathirika huko kwa wananchi kunatokana na ukweli kwamba...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Wanaoiba dawa hospitalini watakiona cha moto

Sumbawanga. Mgombea wa urais kupitia CCM, Dk John Magufuli ameendelea kumwaga ahadi mikoa ya Katavi na Rukwa na kuahidi kuwa iwapo atachaguliwa kuwa rais wahudumu wanaoiba dawa katika hospitali nchini watakiona cha moto.

 

9 years ago

Mwananchi

Wizi wa dawa ni ‘donda ndugu’

Serikali imesema kati ya asilimia 70 ya dawa inazozitoa kwenda kwenye hospitali na vituo vyake vya afya nchini, ni asilimia 30 pekee huwafikia walengwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani