Maaskofu: Watuhumiwa wa Escrow washitakiwe
![](http://1.bp.blogspot.com/-Lx3dc6QB3uk/VJz5ah06q9I/AAAAAAAAOp0/Nzt-pE7LU14/s72-c/DSC_4806.jpg)
Wataka katiba isiharakishwe
Wadai tume huru ya uchaguzi
Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa, akihubiri wakati wa Ibada ya sikukuu ya Krismas katika Kanisa Kuu la KKKT Azania Front jijini Dar es Salaam jana.(Picha: Khalfan Said).
Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo nchini, wamemtaka Rais Jakaya Kikwete, kutowaonea haya viongozi wasiokuwa waadilifu wanaokwenda kinyume cha maadili katika kushughulikia mambo mbalimbali.
Kama vile fedha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo23 Mar
‘Maaskofu mgawo Escrow wabanwa’
MWENYEKITI wa Ushirika wa Wachungaji wa Kipentekoste Tanzania (PPFT), Askofu Pius Ikongo ameibuka na kutaka Jukwaa la Kikristo (TCF) kutoa tamko juu ya hatua zilizochukuliwa dhidi ya maaskofu waliotuhumiwa kupokea mgawo wa fedha za Escrow.
10 years ago
Habarileo28 Nov
TEC yazungumzia pesa za Escrow kwa maaskofu
BARAZA la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) limezungumzia sakata la maaskofu wa kanisa hilo, Methodius Kilaini na Eusebius Nzigirwa kudaiwa kupewa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow na kusema kwa sasa hawawezi kuzungumzia suala hilo kutokana na kuwa linagusa watu binafsi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eHhH0wF8G5C9kkJ-A0SxnFe2uFQpjewE8hjWzHaR37qKTF5LN3B6P6d7rGuTyXvSjLORc9P2KUP8GsfwSbeCsgRY3r*3An*U/breakingnews.gif)
WATUHUMIWA WATATU WA SAKATA LA ESCROW KIZIMBANI
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Watuhumiwa wa escrow wabanwa mbavu Zanzibar
10 years ago
Vijimambo13 Dec
Watuhumiwa Escrow wajiengue: Maria Nyerere
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/maria-dec13-2014(1).jpg)
Mama Maria Nyerere, (pichani) amesema waliotuhumiwa kula fedha za akaunti ya Escrow walipaswa kujiengua katika nafasi zao badala ya kumsubiri Rais atoe maamuzi.
“Hivi karibuni tumeshuhudia mambo yaliyotokea bungeni, wananchi wameona, nilitegemea waliotajwa wangejiondoa wenyewe katika nafasi zao badala ya kusubiria Rais,” alisema.
Mama Maria alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam, mara baada ya kukabidhiwa tunzo ya amani iliyotolewa na Kamati ya...
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Kila kona wataka ‘watuhumiwa’ escrow wafilisiwe
10 years ago
StarTV15 Jan
TAKUKURU yawafikisha mahakamani watuhumiwa wawili wa ESCROW.
Na Lilian Mtono.
Dar es Salaam.
Tume ya kupambana na kuzuia rushwa, TAKUKURU kwa mara ya kwanza imewapandisha kizimbani watuhumiwa wawili wanaohusishwa na kashfa ya wizi wa zaidi ya shilingi Bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.
Watuhumiwa hao walifikishwa kwenye mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam, ambapo kila mmoja anakabiliwa na shitaka moja la kula rushwa.
Mshitakiwa wa kwanza kupandishwa kizimbani alikuwa ni Bwana Theophilo John Bwakea, ambaye inadaiwa kuwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-ZJhlu85PcvA/TscxKQ847QI/AAAAAAAB4o0/UkkoQayEHXM/s72-c/a27.jpg)
Mbinu kuwaokoa watuhumiwa wa Tegeta Escrow zafichuka
![](http://1.bp.blogspot.com/-ZJhlu85PcvA/TscxKQ847QI/AAAAAAAB4o0/UkkoQayEHXM/s640/a27.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ukPdzP1I990/TsaHzrst_MI/AAAAAAAB4gs/s-M6xZzdVNo/s640/Z1.jpg)
Wakati umma ukitarajia hayo kutoka kwenye hotuba ya rais kwa wazee wa Dar es Salaam, zimejiumba jumuiya ambazo hazijawahi kutokea nchini, moja ikijiita Jumuiya ya Wamachinga na nyingine Jumuiya ya Vijana Wanazuoni, kila moja ikipiga debe...
10 years ago
GPL03 Dec