Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watuhumiwa Escrow wajiengue: Maria Nyerere

Mama Maria akikabidhiwa tunzo ya amani
Mama Maria Nyerere, (pichani) amesema waliotuhumiwa kula fedha za akaunti ya Escrow walipaswa kujiengua katika nafasi zao badala ya kumsubiri Rais atoe maamuzi.

“Hivi karibuni tumeshuhudia mambo yaliyotokea bungeni, wananchi wameona, nilitegemea waliotajwa wangejiondoa wenyewe katika nafasi zao badala ya kusubiria Rais,” alisema.

Mama Maria alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam, mara baada ya kukabidhiwa tunzo ya amani iliyotolewa na Kamati ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

Mama Maria Nyerere’s take on escrow scandal

>Mwalimu Nyerere’s widow, Mama Maria Nyerere, yesterday urged Parliament to exhaustively debate the Tegeta escrow account  scandal.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kauli ya Bi Maria Nyerere kuhusu Escrow

Mjane wa hayati Julius Nyerere, Maria Nyerere Tanzania amezungumzia sakata ya ufisadi ya Escrow. Je kauli yake ilikuwa nini?

 

10 years ago

Mwananchi

Mama Maria Nyerere ataka wabunge waijadili escrow

Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere amesema wabunge wanatakiwa kuijadili kwa kina ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu Akaunti ya escrow kwa kuwa kuficha mambo kutaendelea kuzidisha matatizo nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Mama Maria: Mjadala wa Escrow uwe wazi

Mama Maria Nyerere MJANE wa Rais wa Awamu ya Kwanza, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere ameshauri mijadala inayogusa jamii, ikiwamo ile ya akaunti ya Tegeta Escrow ijadiliwe kwa kina ili kupatiwa ufumbuzi.

 

10 years ago

Vijimambo

Maaskofu: Watuhumiwa wa Escrow washitakiwe


  Wataka katiba isiharakishwe  Wadai tume huru ya uchaguzi

Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa, akihubiri wakati wa Ibada ya sikukuu ya Krismas katika Kanisa Kuu la KKKT Azania Front jijini Dar es Salaam jana.(Picha: Khalfan Said).
Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo nchini, wamemtaka Rais Jakaya Kikwete, kutowaonea haya viongozi wasiokuwa waadilifu wanaokwenda kinyume cha maadili katika kushughulikia mambo mbalimbali.

Kama vile fedha...

 

11 years ago

Mwananchi

Mama Maria Nyerere kuandika kitabu

Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere amesema ataandika kitabu kuelezea hatua mbalimbali ambazo nchi imepitia tangu wakati wa ukoloni hadi sasa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mama Maria Nyerere amsimulia Mandela

Uhusiano kati ya familia ya Mwalimu Nyerere na ile ya Mzee Nelson Mandela umekuwa ni wa karibu kiasi kwamba familia yake inajiandaa kwenda kuhudhuria mazishi ya Mandela

 

10 years ago

Mwananchi

Watuhumiwa wa escrow wabanwa mbavu Zanzibar

Taasisi za kutetea haki za binadamu na kusimamia misingi ya Utawala Bora Zanzibar zimesema viongozi waliohusishwa na ufisadi wa Sh 306 bilioni kupitia Akaunti ya Tegeta Escrow wakamatwe na kufikishwa mahakamni badala ya kufukuzwa kazi peke.

 

10 years ago

GPL

WATUHUMIWA WATATU WA SAKATA LA ESCROW KIZIMBANI

WATUHUMIWA watatu wa sakata la akaunti ya Tegeta Escrow wasomewa mashitaka leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam. Watuhumiwa hao ni pamoja na Mkurugenzi wa Fedha wa benki ya Mkombozi, Julius Ruta, Ofisa Mwandamizi wa Tanesco, Steve Urasa na Leonard Lutabingwa wa TRA anayeshitakiwa kwa makosa manne.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani