Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TEC yazungumzia pesa za Escrow kwa maaskofu

BARAZA la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) limezungumzia sakata la maaskofu wa kanisa hilo, Methodius Kilaini na Eusebius Nzigirwa kudaiwa kupewa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow na kusema kwa sasa hawawezi kuzungumzia suala hilo kutokana na kuwa linagusa watu binafsi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

BARAZA MAASKOFU (TEC) LASITISHA UIMBAJI IBADA ZA MISA KUKABILIANA NA CORONA

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania ‘TEC’ limetoa tamko kutekeleza agizo alilotoa Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Aprili 15, juu ya kujilinda na  Corona kwenye masuala ya ibada
TEC imeamua kusitisha mazoezi ya kwaya ili kuepuka mikusanyiko. Pia nyimbo wakati wa ibada zimesitishwa ili Ibada isitumie muda mrefu
Pia mafundisho ya dini kwa watoto na makundi mengine yamesitishwa. Mafundisho yataendelea kwa njia nyingine kama kujisomea katekisimu au njia ya mtandao
Pia kanisa litazingatia umbali wa mtu...

 

10 years ago

Habarileo

‘Maaskofu mgawo Escrow wabanwa’

MWENYEKITI wa Ushirika wa Wachungaji wa Kipentekoste Tanzania (PPFT), Askofu Pius Ikongo ameibuka na kutaka Jukwaa la Kikristo (TCF) kutoa tamko juu ya hatua zilizochukuliwa dhidi ya maaskofu waliotuhumiwa kupokea mgawo wa fedha za Escrow.

 

10 years ago

Vijimambo

Maaskofu: Watuhumiwa wa Escrow washitakiwe


  Wataka katiba isiharakishwe  Wadai tume huru ya uchaguzi

Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa, akihubiri wakati wa Ibada ya sikukuu ya Krismas katika Kanisa Kuu la KKKT Azania Front jijini Dar es Salaam jana.(Picha: Khalfan Said).
Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo nchini, wamemtaka Rais Jakaya Kikwete, kutowaonea haya viongozi wasiokuwa waadilifu wanaokwenda kinyume cha maadili katika kushughulikia mambo mbalimbali.

Kama vile fedha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tibaijuka:''Nilipokea pesa za Escrow''

Profesa. Anne Tibaijuka asema alipokea pesa za Escrow kwa niaba ya shule ya wasichana-hazikumfaidi yeye binafsi

 

10 years ago

Vijimambo

ZITO ALIPULIWA NA RAFIKI YAKE KIPENZI, LUSINDE PESA ZA ESCROW NAE YUMO

Hii ndiyo barua iliyoandikwa na zito kwa ajili ya kukopa fedha hizo za Escrow kumpeleka mama yake india kutibiwa. Barua hii iliyo na vithibitisho kadhaa pamoja na kopi ya leseni ya aliyetumwa iliwasilishwa na Mbunge Lusinde Bungeni na kusomwa kisha kuikabidhi meza kuu kwa ajili ya kufanyiwa kazi.Lusinde akichangia wakati wa mjadala huo ukiendelea Bungeni jana jioni huku akionyesha barua hiyo inayomhusisha Zito katika kashfa hiyo.Lusinde akiendelea kuchangia huku akiwavunja mbavu wabunge kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli aahidi pesa kwa pesa

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli ameanza rasmi kampeni akiwa Mkoa wa Katavi na kuahidi kuacha kuwakopa wakulima mazao akisema atatumia mtindo wa “pesa kwa pesa”.

 

10 years ago

Michuzi

Airtel Money yazindua rasmi huduma ya kutuma/kupokea pesa moja kwa moja kwenye akaunti ya tigo pesa

Mkurugenzi mtendaji wa Airtel Bwana Sunil Colasa akiongea na waandishi wa habari leo hii (hawapo pichani) akiwatangazia kuanza kutumika rasmi kwa huduma mpya ya kutuma na kupokea pesa kutoka kwenye mitandao mingine moja kwa moja kwenye akaunti  zao za Airtel money, (interoperability) huduma hii ni ya kwanza Duniani ambapo inaaminika kuwa itasaidia sana wateja wa Airtel Money na Wakala kuokoa muda wa kupata na kutoa huduma kwa haraka Zaidi. ===========  ==========Wateja Airtel Money...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL MONEY YAZINDUA RASMI HUDUMA YA KUTUMA, KUPOKEA PESA MOJA KWA MOJA KWENYE AKAUNTI YA TIGO PESA

Mkurugenzi mtendaji wa Airtel Bwana Sunil Colasa akiongea na waandishi wa habari leo hii (hawapo pichani) akiwatangazia kuanza kutumika rasmi kwa huduma mpya ya kutuma na kupokea pesa kutoka kwenye mitandao mingine moja kwa moja kwenye akaunti  zao za Airtel money, (interoperability) huduma hii ni ya kwanza Duniani ambapo inaaminika kuwa itasaidia sana wateja wa Airtel Money na Wakala kuokoa muda wa kupata na kutoa huduma kwa...

 

10 years ago

GPL

ZIMAMOTO YAZUNGUMZIA FAMILIA ILIYOTEKETEA KWA MOTO

Inspekta  Puyo  Nzalayaimis  akisoma tamko mbele ya waandishi wa habari (hawako pichani).…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani