Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZIMAMOTO YAZUNGUMZIA FAMILIA ILIYOTEKETEA KWA MOTO

Inspekta  Puyo  Nzalayaimis  akisoma tamko mbele ya waandishi wa habari (hawako pichani).…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

STORI KAMILI YA FAMILIA ILIYOTEKETEA KWA MOTO DAR

Dar es Salaam. “Yesu tuokoe, Yesu tuokoe”. Ndiyo sauti ya mwisho iliyosikia toka kwenye nyumba ya vyumba vitatu na sebule iliyoteketea kwa moto na kusababisha watu sita wa familia moja kupoteza maisha, huku miili ya baba na mama wa familia hiyo ikikutwa pamoja imekumbatiana, ikiwa ni ishara ya kufa pamoja.Kila aliyekuwepo kwenye eneo la tukio alikuwa ni mwenye simanzi, hasa waumini wenzake wa Kikristo kwakuwa jana (Jumamosi) ilikuwa ni zamu ya familia hiyo kuwa wenyeji wa sala ya pamoja ya...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA TOYOTA RAV 4 ILIYOTEKETEA KWA MOTO SELANDER BRIDGE

Gari hili aina ya Toyota Rav 4 likiteketea kwa moto maeneo Selander Bridge jijini Dar es Salaam jana. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715…

 

9 years ago

Mwananchi

Baba wa familia iliyoteketea: Ningeona miili nami ningekufa

Baba wa familia iliyoteketea kwa moto ndani ya nyumba walimokuwa wamelala, jijini Dar es Salaam, Masoud Mattar Masoud (59) amesema kama angeona miili ya familia yake, naye angekufa.

 

10 years ago

Michuzi

Jeshi la Zimamoto jijini Dar latoa mafunzo ya matumizi ya Mtungi wa kuzimia moto kwa wananchi

Sargent Damian Muheya kutoka kitengo cha habari na Elimu kwa Umma Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji akitoa maelezo ya kutumia vifaa vya kuzimia moto vya huduma yakwanza kwa watumiaji wa Kivuko cha Magogoni jijini Dar es salaam tarehe 05/03/2015,ili kuwajengea uwezo wa kukabiliana na majanga ya moto katika hatua ya awali.Sargent Damian Muheya kutoka kitengo cha Habari na Elimu kwa Umma Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji akimuongoza mmoja wa watumiaji wa kivuko cha MV...

 

9 years ago

Mwananchi

Familia yateketea kwa moto Dar

Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Wazanzibari 9 wa familia moja wafa kwa moto.

WATU tisa wa familia moja wenye asili ya Ziwani, Pemba wamekufa kwenye ajali ya moto ulioteketeza nyumba yao jijini Dar es Salaam, huku baba wa familia akinusurika kwa kuwa alikuwa amekwenda msikitini kuswali. Nyumba hiyo iliyoteketea […]

The post Wazanzibari 9 wa familia moja wafa kwa moto. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Familia yateketea kwa moto jijini Dar

 “Yesu tuokoe, Yesu tuokoe”. Ndiyo sauti ya mwisho iliyosikia toka kwenye nyumba ya vyumba vitatu na sebule iliyoteketea kwa moto na kusababisha watu sita wa familia moja kupoteza maisha, huku miili ya baba na mama wa familia hiyo ikikutwa pamoja imekumbatiana, ikiwa ni ishara ya kufa pamoja.

 

9 years ago

Mwananchi

Watoto wa familia moja wateketea kwa moto Mbeya

Watoto wawili wa familia moja wameteketea kwa moto huku mama yao akiungua sehemu kubwa ya mwili wake baada ya chumba walichokuwa wamelala kuungua kwa moto katika Mtaa wa Itiji jijini hapa usiku wa kuamkia leo.

 

9 years ago

Mwananchi

Familia yateketea kwa moto ikiwa imeshikana chumbani

Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto baada ya nyumba yao kuungua usiku wa kuamkia jana jijini Dar es Salaam, huku mashuhuda wakisema walikuta miili yao ikiwa imeshikana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani