STORI KAMILI YA FAMILIA ILIYOTEKETEA KWA MOTO DAR
Dar es Salaam. “Yesu tuokoe, Yesu tuokoe”. Ndiyo sauti ya mwisho iliyosikia toka kwenye nyumba ya vyumba vitatu na sebule iliyoteketea kwa moto na kusababisha watu sita wa familia moja kupoteza maisha, huku miili ya baba na mama wa familia hiyo ikikutwa pamoja imekumbatiana, ikiwa ni ishara ya kufa pamoja.Kila aliyekuwepo kwenye eneo la tukio alikuwa ni mwenye simanzi, hasa waumini wenzake wa Kikristo kwakuwa jana (Jumamosi) ilikuwa ni zamu ya familia hiyo kuwa wenyeji wa sala ya pamoja ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLZIMAMOTO YAZUNGUMZIA FAMILIA ILIYOTEKETEA KWA MOTO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzJVcnA3Xm3mS2Z4zLOgWB9PxOEiD8ZD28Jtw*0syWgLMSsfPEu4mW9uzjlVrF53NPgxwPBD0oZGNPwLmDwJ22OesHhEg0xM/RAV42.jpg)
TASWIRA ZA TOYOTA RAV 4 ILIYOTEKETEA KWA MOTO SELANDER BRIDGE
9 years ago
Mwananchi27 Aug
Familia yateketea kwa moto Dar
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Familia yateketea kwa moto jijini Dar
9 years ago
Mwananchi27 Aug
Watu tisa wa familia moja wateketea kwa moto Dar
9 years ago
StarTV28 Aug
Fahamu kiundani tukio la Familia kuteketea kwa moto Dar
![Hii ni nyumba iliyoteketea kwa moto maeneo ya](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2848032/highRes/1103963/-/maxw/600/-/liao55/-/pic+moto.jpg)
Hii ni nyumba iliyoteketea kwa moto maeneo ya Buguruni Malapa .
Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam, mashuhuda wamethibitisha.Tukio hilo la kusikitisha limetokea Mtaa wa Ulam ambapo, bibi, watoto watatu wa kike na wajukuu watano waliokuwa wanaishi nyumba namba 40 wameteketea.
Mashuhuda wa tukio hilo wameliambia Mwanannchi Digital kuwa baba wa familia hiyo amenusurika kwa kuwa hakuwepo nyumbani, na kwamba...
9 years ago
Mwananchi29 Aug
Baba wa familia iliyoteketea: Ningeona miili nami ningekufa
10 years ago
Habarileo08 Feb
Moto wateketeza familia Dar
WATU sita wa familia moja akiwamo Kapteni mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), wamekufa papo hapo baada ya kuteketezwa kwa moto jijini Dar es Salaam.
9 years ago
Vijimambo28 Aug
HABARI KAMILI YA WATU 9 WALIOTEKETEA KWA MOTO BUGURUNI
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/11947472_1081693931848512_1592356212416966947_n.png)
Nyumba hiyo iliyoteketea iko Mtaa wa Gulam katika eneo la Buguruni Malapa na baba wa familia hiyo, Masoud Matal hali yake ni mbaya. Marehemu hao walizikwa jana katika makaburi ya Kisutu.
Wakizungumza na mwandishi, majirani walisema marehemu hao walikutwa wamekumbatiana baada ya kupiga kelele kwa muda mrefu wakiomba...