Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baba wa familia iliyoteketea: Ningeona miili nami ningekufa

Baba wa familia iliyoteketea kwa moto ndani ya nyumba walimokuwa wamelala, jijini Dar es Salaam, Masoud Mattar Masoud (59) amesema kama angeona miili ya familia yake, naye angekufa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ZIMAMOTO YAZUNGUMZIA FAMILIA ILIYOTEKETEA KWA MOTO

Inspekta  Puyo  Nzalayaimis  akisoma tamko mbele ya waandishi wa habari (hawako pichani).…

 

10 years ago

Vijimambo

STORI KAMILI YA FAMILIA ILIYOTEKETEA KWA MOTO DAR

Dar es Salaam. “Yesu tuokoe, Yesu tuokoe”. Ndiyo sauti ya mwisho iliyosikia toka kwenye nyumba ya vyumba vitatu na sebule iliyoteketea kwa moto na kusababisha watu sita wa familia moja kupoteza maisha, huku miili ya baba na mama wa familia hiyo ikikutwa pamoja imekumbatiana, ikiwa ni ishara ya kufa pamoja.Kila aliyekuwepo kwenye eneo la tukio alikuwa ni mwenye simanzi, hasa waumini wenzake wa Kikristo kwakuwa jana (Jumamosi) ilikuwa ni zamu ya familia hiyo kuwa wenyeji wa sala ya pamoja ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Familia kutambua miili ya waliouawa Kenya

Familia za wanafunzi waliouawa katika chuo kikuu Kenya zimeenda katika eneo la mkasa ili kuitambua miili ya waliouawa.

 

5 years ago

BBCSwahili

India: Baba azika ua kuchoma maelfu ya miili ya watu kujifariji kwa kifo cha mtoto wake

Mohammad “Mjomba” Shareef amezika ama kuchoma maelfu ya miili ya watu kwa miaka 28 kaskazini mwa India mji wa Ayodhya. Mtoto wake wa kiume aliuawa katika vita 1992 na mwili wake haukuwahi kuonekana zaidi ya nguzo zake tu.

 

10 years ago

Habarileo

Mkulima 'baba’ wa familia ya watu 92

LICHA ya kutegemewa na familia kubwa ya watu 92, mkulima bora wa Wilaya ya Mlele, Katindi Mayogala (80), ametamba kuwa, ana akiba ya chakula inayoweza kuitosheleza familia yake kwa miaka mitatu mfululizo. Mayogola anayetajwa kuwa ni rafiki mkubwa wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ana wake wanne, watoto 42 wa kuwazaa, wajukuu na vitukuu wanaofikia 50, wote wakiishi katika kijiji eneo la Tupido, Kata ya Mbede alikoweka makazi yake yenye umaarufu mkubwa kwa jina la `Katindi Kilimo Kwanza Group’,...

 

10 years ago

GPL

BABA AKIMBIA FAMILIA BAADA YA MKE KUPOOZA

Na Haruni Sanchawa
MAMA mmoja Aisha Ramadhani (26),  mkazi  wa Gongo la Mboto , Ilala jijini Dar es Salaam amedai kuwa amekimbiwa na mume aliyemtaja kwa jina Athuman Hussein baada ya kupooza kwa miaka miwili. Aisha Ramadhani anayedai kutorokwa na mumewe baada ya kupooza. Akizungumza na gazeti hili wiki iliyopita huku akibubujikwa na machozi , mama huyo wa mtoto mmoja alisema anateseka kwa miaka miwili sasa na amehangaika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Familia ya Edward Moringe Sokoine wafanya misa ya kumkumbuka baba yao

 

Familia aliye kuwa waziri mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine wakiwa katika ibada maalumu ya maadhimisho ya kifo chake nyumbani kwake Monduli juu, siku ambayo huadhimishwa April 12 kila mwaka.

Wake wa aliye kuwa Waziri mkuu  wa Tanzania  hayati Edward Moringe Sokoine, wakiweka  mashada ya maua kwenye kaburi la  mume wao nyumbani kwake eneo la Monduli Juu wilayani Monduli mkoani Arusha wakati wa maadhimisho ya siku ya kifo chake siku ambayo huadhimishwa April 12 kila...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mc Kenyatta : Ningebaki Huku Ningekufa Njaa

MUIGIZAJI mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo Emanuel Kenyatta ‘Mc Kenyatta’ amefunguka kuwa kama angaeendelea kutegemea sanaa ya uigizaji hadi leo hii angekufa njaa, lakini baada ya kujiongeza maisha yanaendelea na kazi ambayo inamuigizia riziki ni ushereheshaji katika shughuli mbalimbali.

“Sanaa imevamiwa kwa sasa hasa hawa akina dada zetu, na ukiangalia hali ya soko ilivyo inakuwa vigumu sana kutegemea kipato katika filamu, unatakiwa kujiongeza naamini kama si kuwa Mc leo ningefeli...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA TOYOTA RAV 4 ILIYOTEKETEA KWA MOTO SELANDER BRIDGE

Gari hili aina ya Toyota Rav 4 likiteketea kwa moto maeneo Selander Bridge jijini Dar es Salaam jana. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani