Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mc Kenyatta : Ningebaki Huku Ningekufa Njaa

MUIGIZAJI mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo Emanuel Kenyatta ‘Mc Kenyatta’ amefunguka kuwa kama angaeendelea kutegemea sanaa ya uigizaji hadi leo hii angekufa njaa, lakini baada ya kujiongeza maisha yanaendelea na kazi ambayo inamuigizia riziki ni ushereheshaji katika shughuli mbalimbali.

“Sanaa imevamiwa kwa sasa hasa hawa akina dada zetu, na ukiangalia hali ya soko ilivyo inakuwa vigumu sana kutegemea kipato katika filamu, unatakiwa kujiongeza naamini kama si kuwa Mc leo ningefeli...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Baba wa familia iliyoteketea: Ningeona miili nami ningekufa

Baba wa familia iliyoteketea kwa moto ndani ya nyumba walimokuwa wamelala, jijini Dar es Salaam, Masoud Mattar Masoud (59) amesema kama angeona miili ya familia yake, naye angekufa.

 

10 years ago

Vijimambo

KIJANA AKOTWA HUKU KANISA NYASUBI KAHAMA HUKU IKIWA HAWEZI KUONGEA VIZURI

Kijana sebastin akotwa maeneo ya kanisa la roma katoliki mjini kahama huku hakiwa awenzi kuongea jina lake vizuri huku kwenye mkono wake likiwa limeandikwa jina lake .Afisa maendeleo wa mji wa kahama Neema lujumba akiwa na kijana huyo baada ya kufikishwa ofisi ya mtendaji wa kata ya nyasubi kwa mahojiano zaidikijana sebastin akiwa na ofisa maendeleo Neema lujumba kwenye ofisi ya mkurungezi wa halmashauri ya mji wa kahama.kwa mujibu wa afisa maendeleo huyo alisema kuwa mtoto huyu aliokotwa na...

 

9 years ago

GPL

JK AKUTANA NA UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA MZEE JOMO KENYATTA‏

   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo...

 

9 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA MZEE JOMO KENYATTA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA HAYATI MZEE JOMO KENYATTA

Serikali ya Kenya na watu wake wameelezea shukrani zake kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa urafiki na ushirikiano thabiti aliouonyesha kwa watu wa Kenya katika kipindi cha miaka 10 ya uongozi wake. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema hayo tarehe 5 Oktoba, 2015 katika Ikulu ya Nairobi wakati wa mazungumzo ya kiserikali. "I thank you, and on behalf of People of Kenya for your friendship and Cooperation that was reflected during your 10 years as President" Rais Kenyatta amemueleza Rais Kikwete...

 

10 years ago

Mtanzania

Burundi yakabiliwa na njaa

Pierre-NkurunzizaNa Mwandishi Wetu, Bujumbura
HALI ya njaa imeikumba Burundi hasa katika mji mkuu wa Bujumbura baada ya wasafirishaji wa mazao kusimamisha huduma yao kuhofia usalama wao.
Kutokana na hali hiyo Serikali imekuwa ikihaha kuwaomba wananchi hasa waliokimbia wa mikoa ya milimani ya Makamba na Ngozi kurejea nchini humo waendelee na kilimo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, mkazi wa Bujumbura ambaye jina lake linahitafadhiwa kwa sababu za usalama, alisema kwa wiki moja sasa huduma muhimu za vyakula...

 

9 years ago

Mwananchi

Wanavijiji walia na njaa

Wakazi wa Wilaya za Butiama na Rorya mkoani Mara wanakabiliwa na njaa baada ya zao la muhogo wanalolitegemea kwa chakula kushambuliwa na magonjwa ya batobato kali na michirizi kahawia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Njaa yanyemelea Manyoni

WAKAZI 1,904 wa Kata ya Saranda, Tarafa ya Kilimatinde, wilayani Manyoni wanakabiliwa na upungufu wa chakula. Diwani wa Kata ya Saranda, Juma Ramadhani aliyasema hayo alipokuwa akielezea hali ya chakula...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wabunge walia njaa

WABUNGE wa Bunge la Muungano, wanakabiliwa na ukata baada ya Ofisi ya Bunge kushindwa kuwalipa posho zao tangu walipoanza vikao vya Kamati za Bunge, jijini Dar es Salaam. Ingawa wabunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani