Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZITO ALIPULIWA NA RAFIKI YAKE KIPENZI, LUSINDE PESA ZA ESCROW NAE YUMO

Hii ndiyo barua iliyoandikwa na zito kwa ajili ya kukopa fedha hizo za Escrow kumpeleka mama yake india kutibiwa. Barua hii iliyo na vithibitisho kadhaa pamoja na kopi ya leseni ya aliyetumwa iliwasilishwa na Mbunge Lusinde Bungeni na kusomwa kisha kuikabidhi meza kuu kwa ajili ya kufanyiwa kazi.Lusinde akichangia wakati wa mjadala huo ukiendelea Bungeni jana jioni huku akionyesha barua hiyo inayomhusisha Zito katika kashfa hiyo.Lusinde akiendelea kuchangia huku akiwavunja mbavu wabunge kwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Kafulila: Nina bomu zito la Escrow

Asema akiliachia serikali itatikisika, Amtaka Muhongo aepushe balaaMbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila.
Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila, amesema kwamba analo bomu lingine kuhusu sakata ya uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow.

Mbunge huyo amesema bomu hilo likilipuka litaitikisa serikali na vigogo waliohusika katika kashfa hiyo, akiwamo Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.

Kafulila amesema kutokana na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tibaijuka:''Nilipokea pesa za Escrow''

Profesa. Anne Tibaijuka asema alipokea pesa za Escrow kwa niaba ya shule ya wasichana-hazikumfaidi yeye binafsi

 

11 years ago

Mwananchi

Ajiua baada ya rafiki yake kuuawa

Mtu mmoja amejinyonga mpaka kufa baada ya rafiki yake kipenzi kufariki dunia kwa kile kilichoelezwa kupigwa na walinzi wa Mgodi wa North Mara.

 

10 years ago

Habarileo

TEC yazungumzia pesa za Escrow kwa maaskofu

BARAZA la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) limezungumzia sakata la maaskofu wa kanisa hilo, Methodius Kilaini na Eusebius Nzigirwa kudaiwa kupewa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow na kusema kwa sasa hawawezi kuzungumzia suala hilo kutokana na kuwa linagusa watu binafsi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kasisi afariki ghafla kwa 'rafiki' yake

Kasisi mmoja mashuhuri nchini Kenya alizimia na kufariki katika hali ya kutatanisha nyumbani kwa mwanamke ambaye sie mke wake.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi adaiwa kumuua rafiki yake kwa kipigo

Askari wa kikosi cha Mbwa na Farasi wilayani Nyamagana mkoani Mwanza, anadaiwa kumuua rafiki yake akiwa amemfunga pingu miguuni baada ya kumtuhumu kumuibia kadi za benki na pochi.

 

10 years ago

Habarileo

Mfanya biashara Arusha adaiwa kumuua rafiki yake

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus SabasMFANYABIASHARA maarufu wa madini ya tanzanite jijini Arusha, Felix Mmasi (41) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha akituhumiwa kumpiga risasi kwa kutumia silaha aina ya bastola mtu anayedaiwa kuwa ni rafiki yake na kumsababishia umauti.

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA PROIN PROMOTIONS LIMITED YASAINI MKATABA NA MZEE YUSUPH KWAAJILI YA KUSAMBAZA FILAMU YAKE IITWAYO "NITADUMU NAE"

Mzee Yusuph (Kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa filamu yake ya Kwanza iitwayo NITADUMU NAE ambapo filamu hiyo imeingia sokoni leo Jumatatu na inasambazwa na Kampuni ya Proin Promotions Limited, Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampun ya Proin Promotions Limited, Evans Stephen.Mzee Yusuph akibadilishana Mkataba na Mwanasheria wa Kampuni ya Proin Promotions Limited Halima Mara baada ya Kumaliza kutiliana saini katika Mikataba. Na Josephat Lukaza -...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani