Mauaji Stakishari yaibua mapya Polisi
JESHI la Polisi nchini jana liliwaaga kwa heshima zote za kijeshi askari wake wawili kati ya wanne waliouawa wakiwa katika kituo cha kazi cha Stakishari, Ukonga jijini Dar es Salaam, huku likiahidi kufanya mapinduzi kadhaa ya kiutendaji.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLUKWELI MAUAJI POLISI STAKISHARI
Na Timu ya Uwazi
TAKRIBANI siku 9 tangu kutokea kwa uporaji wa silaha na mauaji ya askari wanne na raia watatu katika Kituo cha Polisi Stakishari jijini Dar es Salaam, moshi mweupe wa ukweli umenza kufuka. Uchunguzi na vyanzo mbalimbali vya habari wakiwemo polisi ambao hawakutaka kutajwa majina yao, umesaidia timu ya waandishi wetu kubaini jinsi tukio hilo la kinyama lilivyofanyika....habari na picha zote...
9 years ago
Mwananchi13 Nov
Kortini kwa mauaji ya polisi na raia Stakishari
Idadi ya washtakiwa waliofikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka saba ya mauaji ya maofisa wanne wa polisi na raia watatu katika kituo cha jeshi hilo cha Stakishari, imeongezeka hadi kufikia 10.
10 years ago
Michuzi15 Jul
10 years ago
Dewji Blog14 Jul
THBUB yalaani mauaji ya askari polisi na raia Stakishari — DSM
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Tom Nyanduga.
Tamko la THBUB kulaani Mauaji ya Polisi Stakishari-DSM.pdf
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Tarehe ya Kura ya Maoni yaibua mapya
Kauli ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema kwamba kura ya maoni kupitisha Katiba Inayopendekezwa itafanyika Machi 30 mwakani, imeelezwa na wanaharakati, wasomi, wanasiasa na viongozi wa dini kuwa ni mwendelezo wa kauli zinazokinzana zinazotolewa na viongozi mbalimbali wa Serikali.
9 years ago
MichuziTAFFA YAIBUA MAPYA YA UTOROSHAJI WA KONTENA
Rais wa Chama cha Mawakala wa Forodha (Taffa), Stephen Ngatunga (kulia), akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na njia zinazotumika kuiba mapato ya serikali bandarini na katika Idara ya Forodha, Jijini Dar es Salaam jana. kushoto ni maofisa waandamizi wa chama hicho. Picha na Mpigapicha Wetu
Rais wa Chama cha Mawakala wa Forodha (Taffa), Stephen Ngatunga (kushoto), akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na njia zinazotumika kuiba mapato ya...
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Ripoti yaibua mapya ujangili meno ya tembo
Wiki moja baada ya Shirika la Mazingira (Eia) la Uingereza kutoa ripoti kuwa msafara wa Rais Xi Jinping wa China ulihusika na utoroshwaji wa meno ya tembo nchini, imeelezwa kuwa ripoti hiyo ilikabidhiwa Wizara ya Maliasili na Utalii, uongozi wa misitu wa China pamoja na polisi wa nchi zote mbili kabla ya kuichapisha, lakini haikufanyiwa kazi.
10 years ago
Mwananchi09 Feb
Ajali ya moto iliyoua watu sita Kipunguni yaibua mapya
>Waombolezaji kwenye msiba uliotokana na ajali ya moto ulioteketeza watu sita wa familia moja, wamelaumu Kikosi cha Zimamoto cha Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa kushindwa kufika kwa wakati eneo la tukio.
10 years ago
GPLKITUO CHA POLISI STAKISHARI-UKONGA CHAVAMIWA, POLISI WAUAWA NA KUPORWA SILAHA
WATU wanaodhaniwa kuwa magaidi wamevamia Kituo cha Polisi Stakishari kilichopo Ukonga jijini Dar es Salaam, jana usiku na kuua askari na raia kisha kupora silaha. Kwa mujibu wa taarifa za awali ambazo bado hazijathibitishwa na Jeshi la Polisi ni kwamba watu hao walifika kituoni hapo wakiwa katika pikipiki wakidai kwamba walikuwa wamembeba mtu aliyepata ajali wakihitaji msaada wa polisi kabla ya kuwabadilikia ghafla na kuanza...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania