Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi yakamata silaha zilizoibwa Stakishari

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata bunduki 14 na risasi 28 zilizoporwa katika kituo cha polisi cha Stakshari.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Polisi yakamata bunduki 16 za Stakishari

Jeshi la Polisi limesema limeshakamata bunduki 16 kati ya 21 zilizoporwa kwenye Kituo cha Stakishari.

 

10 years ago

GPL

KITUO CHA POLISI STAKISHARI-UKONGA CHAVAMIWA, POLISI WAUAWA NA KUPORWA SILAHA

WATU wanaodhaniwa kuwa magaidi wamevamia Kituo cha Polisi Stakishari kilichopo Ukonga jijini Dar es Salaam, jana usiku na kuua askari na raia kisha kupora silaha. Kwa mujibu wa taarifa za awali ambazo bado hazijathibitishwa na Jeshi la Polisi ni kwamba watu hao walifika kituoni hapo wakiwa katika pikipiki wakidai kwamba walikuwa wamembeba mtu aliyepata ajali wakihitaji msaada wa polisi kabla ya kuwabadilikia ghafla na kuanza...

 

10 years ago

Habarileo

Silaha za Stakishari zakutwa Mkuranga

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akionesha silaha walizozikamata jana, katika msako unaoendelea wa majambazi waliovamia na kupora silaha katika Kituo cha Stakishari, Ukonga hivi karibuni jijini. (Picha na Yusuf Badi).JESHI la Polisi limefanikiwa kukamata bunduki za kivita 14 na risasi 28 ambazo ziliibwa na majambazi kwenye tukio katika Kituo cha Polisi Stakishari, Ukonga jijini Dar es Salaam, ambapo watu saba waliuawa wakiwemo polisi wanne.

 

5 years ago

CCM Blog

JWTZ YAKAMATA SILAHA ZA KIVITA MAKAMBI YA WAKIMBIZI KATAVI

  Serikali ya  Mkoa wa Katavi kwa kushirikiana na Jeshi la  Wananchi kikosi cha 202 na 401  wamefanikiwa  kukamata Bunduki 50 zikiwemo 13 za kivita na tatu zilizotengenezewa nchi za ulaya aina ya  G3 kufutia masako uliofanywa kwa muda wa siku 21 katika Makazi ya wakimbizi ya Katumba na Mishamo humo
Operesheni hiyo imefanyika ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli alilolitoa mwezi Oktoba  mwaka jana wakati wa ziara yake  Mkoani Katavi kwa uongozi wa Serikali ambapo aliwataka  ...

 

10 years ago

Mwananchi

Watu wenye silaha wavamia kituo cha polisi Dar, waua, waiba silaha

>Watu wenye silaha wamevamia kituo cha polisi cha Staki Shari jijini Dar es Salaam ambapo katika tukio hilo, watu saba wameripotiwa kuuawa, huku silaha zilizokuwepo katika kituo hicho zikiibwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi Stakishari matatani

Polisi wa Kituo cha Stakishari Ukonga wilayani Ilala wanatuhumiwa kusababisha kifo cha mkazi wa Karakata, Liberati Matemu (55), aliyefariki juzi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

 

10 years ago

GPL

UKWELI MAUAJI POLISI STAKISHARI

Na Timu ya Uwazi TAKRIBANI siku 9 tangu kutokea kwa uporaji wa silaha na mauaji ya askari wanne na raia watatu katika Kituo cha Polisi Stakishari jijini Dar es Salaam, moshi mweupe wa ukweli umenza kufuka. Uchunguzi na vyanzo mbalimbali vya habari wakiwemo polisi ambao hawakutaka kutajwa majina yao, umesaidia timu ya waandishi wetu kubaini jinsi tukio hilo la kinyama lilivyofanyika....habari na picha zote...

 

10 years ago

Habarileo

Mauaji Stakishari yaibua mapya Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Ernest Mangu, akitoa tamko juu ya tukio la Stakishari la kuuawa kwa polisi na raia kulikofanywa na majambazi.JESHI la Polisi nchini jana liliwaaga kwa heshima zote za kijeshi askari wake wawili kati ya wanne waliouawa wakiwa katika kituo cha kazi cha Stakishari, Ukonga jijini Dar es Salaam, huku likiahidi kufanya mapinduzi kadhaa ya kiutendaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani