Silaha za Stakishari zakutwa Mkuranga
JESHI la Polisi limefanikiwa kukamata bunduki za kivita 14 na risasi 28 ambazo ziliibwa na majambazi kwenye tukio katika Kituo cha Polisi Stakishari, Ukonga jijini Dar es Salaam, ambapo watu saba waliuawa wakiwemo polisi wanne.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Jul
Polisi yakamata silaha zilizoibwa Stakishari
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata bunduki 14 na risasi 28 zilizoporwa katika kituo cha polisi cha Stakshari.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR4ur97VhIdHrwwacMHra1YOjmjnrzAl7RP7DI3YZHKtOrvI*epTTORCUd5H4PNqWuicflqHnYJzsmc*IltS4ZSd/BREAKING.gif)
KITUO CHA POLISI STAKISHARI-UKONGA CHAVAMIWA, POLISI WAUAWA NA KUPORWA SILAHA
WATU wanaodhaniwa kuwa magaidi wamevamia Kituo cha Polisi Stakishari kilichopo Ukonga jijini Dar es Salaam, jana usiku na kuua askari na raia kisha kupora silaha. Kwa mujibu wa taarifa za awali ambazo bado hazijathibitishwa na Jeshi la Polisi ni kwamba watu hao walifika kituoni hapo wakiwa katika pikipiki wakidai kwamba walikuwa wamembeba mtu aliyepata ajali wakihitaji msaada wa polisi kabla ya kuwabadilikia ghafla na kuanza...
10 years ago
Michuzi31 Mar
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Kondomu zakutwa kwenye ukumbi wa bunge
Nairobi, Kenya. Inaweza kuonekana ni kituko cha aina yake, lakini ni kweli kimetokea kwenye Ukumbi wa Bunge la Kaunti ya Nairobi na kuwaacha wabunge vinywa wazi.
10 years ago
Mwananchi13 Jul
Watu wenye silaha wavamia kituo cha polisi Dar, waua, waiba silaha
>Watu wenye silaha wamevamia kituo cha polisi cha Staki Shari jijini Dar es Salaam ambapo katika tukio hilo, watu saba wameripotiwa kuuawa, huku silaha zilizokuwepo katika kituo hicho zikiibwa.
10 years ago
Raia Tanzania22 Jul
Wavamizi Stakishari mbaroni
WATU wawili wanaodaiwa kuhusika katika uvamizi na mauaji ya wiki iliyopita kwenye Kituo cha Polisi Stakishari jijini Dar es Salaam, wametiwa mbaroni.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, mbali na watu hao wanaoendelea kushikiliwa na polisi, watuhumiwa wengine watatu wa tukio hilo waliuawa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Kova alisema Ijumaa iliyopita, polisi walipata taarifa za kuaminika kwamba majambazi waliohusika Stakishari wapo...
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Polisi Stakishari matatani
Polisi wa Kituo cha Stakishari Ukonga wilayani Ilala wanatuhumiwa kusababisha kifo cha mkazi wa Karakata, Liberati Matemu (55), aliyefariki juzi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
9 years ago
Habarileo12 Sep
Watuhumiwa wa Stakishari kortini
WATU wanne wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya mauaji ya watu saba, wakiwemo askari wanne katika Kituo cha Polisi cha Stakishari.
9 years ago
TheCitizen15 Sep
Stakishari suspect tries to kill self at police HQ
A man police claim has been coordinating attacks on police stations was seriously injured yesterday after jumping from the third floor of the Central Police Station.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania