Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watuhumiwa wa Stakishari kortini

WATU wanne wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya mauaji ya watu saba, wakiwemo askari wanne katika Kituo cha Polisi cha Stakishari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Watuhumiwa wa Stakishari wapanda kizimbani

Watu wanne wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka saba ya mauaji katika Kituo cha Polisi cha Staki Shari kilichopo Wilaya ya Ilala.

 

10 years ago

GPL

WATUHUMIWA WA UJAMBAZI STAKISHARI WATIWA MBARONI

Kituo cha Polisi Stakishari kilichovamiwa na majambazi. JESHI la Polisi jijini Dar es Salaam limewakamata watu watano waliohusika na tukio la ujambazi katika Kituo cha Stakishari, kilichopo Ukonga jijini Dar pamoja na silaha kadhaa. Katika tukio hilo bunduki aina ya SMG 7, SAR 7 na risasi 28 za SMG vimekamatwa vyote vikiwa vya Kituo cha Stakishari. Mbali na vitu hivyo, sanduku lenye fedha kiasi cha shilingi milioni 170 pamoja na...

 

9 years ago

Michuzi

KESI YA WATUHUMIWA WA MAUAJI YA ASKARI WA KITUO CHA STAKISHARI YAAHIRISHWA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeairisha kesi inayowakabili watuhumiwa kumi (10)wa ujambazi wanaodaiwa kufanya mauaji ya Askari Polisi wa kituo Stakishari jijini Dar es Salaam.
Watuhumiwa wanaodaiwa kufanya mauaji ya Askari wa Kituo cha Stakishari ni Omary makota(28),Rajab Ulatule(22),Ramadhani Ulatule(20),Fadhiri Lukwembe(23),Ally Salum(63).
Wengine ni Hamis Salum(51),Nassoro Abdalah(42)Seleman Salum(83),Said Mohamed(67) na Said Abdulah(45)....

 

9 years ago

Mwananchi

Kortini kwa mauaji ya polisi na raia Stakishari

Idadi ya washtakiwa waliofikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka saba ya mauaji ya maofisa wanne wa polisi na raia watatu katika kituo cha jeshi hilo cha Stakishari, imeongezeka hadi kufikia 10.

 

11 years ago

Habarileo

Watuhumiwa 19 wa mabomu kortini

WATUHUMIWA 19 wa ulipuaji mabomu mkoani Arusha, jana walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Walisomewa mashtaka yanayowakabili chini ya ulinzi mkali ndani na nje ya viwanja vya mahakama.

 

11 years ago

Mwananchi

Watuhumiwa wa mauaji kortini Z’bar

Watuhumiwa wawili wa mauaji ya raia wawili wa Ufaransa, Francios Robert Danis Rober na Brigitte Meny waliouawa na kutumbukizwa kisimani huko Matemwe Minazi Mirefu Mkoa wa Kaskazini Unguja wamefikishwa kortini.

 

11 years ago

Mwananchi

Watuhumiwa wa ‘unga’ kortini leo

Watuhumiwa wanne waliokamatwa na dawa za kulevya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mwishoni mwa wiki iliyopita, leo wanatarajiwa kufikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watuhumiwa vifo Austria kortini

Watu wanne waliotiwa mbaroni baada ya miili ya watu sabini moja ya wahamiaji kupatikana kwenye lori nchini Austria wanatarajiwa kufikishwa mahakamani nchini Hungary leo.

 

10 years ago

Habarileo

Watuhumiwa 25 wa ugaidi kortini Moro

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo.WATU 25 wanaotuhumiwa kwa vitendo vya ugaidi katika Tarafa ya Kidatu wilayani Kilombero mkoa wa Morogoro, wamepandishwa kizimbani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani