Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JWTZ YAKAMATA SILAHA ZA KIVITA MAKAMBI YA WAKIMBIZI KATAVI

  Serikali ya  Mkoa wa Katavi kwa kushirikiana na Jeshi la  Wananchi kikosi cha 202 na 401  wamefanikiwa  kukamata Bunduki 50 zikiwemo 13 za kivita na tatu zilizotengenezewa nchi za ulaya aina ya  G3 kufutia masako uliofanywa kwa muda wa siku 21 katika Makazi ya wakimbizi ya Katumba na Mishamo humo
Operesheni hiyo imefanyika ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli alilolitoa mwezi Oktoba  mwaka jana wakati wa ziara yake  Mkoani Katavi kwa uongozi wa Serikali ambapo aliwataka  ...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAKIMBIZI WA BURUNDI WAONGEZEKA MAKAMBI YA WAKIMBIZI MKOANI KIGOMA

 Baadhi ya Wakimbizi kutoka Burundi wakipokelewa katika Kambi ya Wakimbizi ya Nduta, wilayani Kobondo, mkoani Kigoma. Idadi ya wakimbizi kutoka nchini humo inazidi kuongezeka siku hadi siku.Watoto wa Wakimbizi kutoka Burundi wakiwa katika Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo, mkoani Kigoma ambapo wanahifadhiwa. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.



 

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIIdadi ya raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni kwa silaha ya kivita

JESHI la Polisi Mkoa wa Katavi linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kukutwa na bunduki ya kivita aina ya G3, namba FMP 061283B367 ikiwa na risasi zake tisa wakati wakisafirisha...

 

10 years ago

Mwananchi

Silaha za kivita zauzwa mpakani

Wakati Serikali ikihaha kukabiliana na ujangili na uhalifu mwingine wa kutumia silaha ukiwamo ujambazi unaotokea maeneo mbalimbali, imebainika kuwa silaha za kivita zimeendelea kupenyezwa na kuuzwa nchini kutoka nchi jirani.

 

9 years ago

GPL

HOFU YATANDA, SILAHA ZA KIVITA KUKAMATWA

Silaha zilizokamatwa zikioneshwa kwa wandishi wa habari. Na Timu ya Uwazi, Mkuranga HOFU kubwa imetanda kwenye Kijiji cha Mamndi Mkongo kilichopo Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani kufuatia Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa  kushirikiana na wale wa mkoa huo kunasa silaha  nyingine za kivita zikiwa zimefukiwa kwenye shimo msituni. Tukio hilo  la unasaji wa silaha lilifanikiwa Agosti 29,  mwaka huu ...

 

11 years ago

Habarileo

Polisi Z’bar wakamata silaha za kivita

POLISI Zanzibar, wamefanikiwa kukamata silaha mbili za vita na risasi 40 zinazosadikiwa kutumika katika matukio mbalimbali ya kihalifu, likiwemo la mauaji ya askari polisi mmoja lililotokea Machi 2, mwaka huu huko kwenye Hoteli ya Kitalii ya Pongwe Bay mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar.

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAMBI YA WAKIMBIZI MKOANI KIGOMA

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (kulia) akizungumza na uongozi na watendaji wa Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma alipofanya ziara wilayani humo kwa ajili ya kukagua Kambi ya Nduta wilayani humo pamoja na Kambi za Mtendeli na Karago wilayani Kakonko ambazo zipo katika maandalizi ya kuwapokea wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa kwa muda katika Kambi ya Nyarugusu mkaoni humo. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Ruth Msafiri.  Watoto wa Wakimbizi kutoka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Majambazi waua polisi, wapora silaha za kivita

WATU sita wanaodhaniwa kuwa majambazi, wamemuua askari polisi wa Kituo kidogo cha Polisi kilichopo Mkamba, Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani na kuwajeruhi askari mgambo wawili baada ya kuvamia kituo hicho....

 

11 years ago

Mwananchi

Mwakilishi ataka Zanzibar imiliki silaha za kivita

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imeshauriwa kuwa na uraia kwa watu wake pamoja na kuvipa hadhi vikosi vyake maalumu ili viweze kumiliki silaha za kivita chini ya mfumo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi yakamata silaha zilizoibwa Stakishari

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata bunduki 14 na risasi 28 zilizoporwa katika kituo cha polisi cha Stakshari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani