Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKAWA waungana rasmi

VYAMA vinne vya upinzani nchini vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), jana vilitiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano, ikiwamo kusimamisha mgombea katika chaguzi zote, kuanzia wa serikali za mitaa mwaka huu na ule wa wabunge, madiwani na rais mwaka kesho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

VIONGOZI WAPYA WA TAHLISO WAAPISHWA RASMI,WAUNGANA NA KASI YA MAGUFULI

Mwenyikiti mpya wa shirikisho la wanafunzi wa elimu ya juu nchini Tanzania TAHLISO Ndugu STANSLAUS PETER akila kiapo kulitumikia shirikisho hilo mbele ya mwanasheria HAMZA JABIRI leo Jijini Dar es salaam kuanza kazi rasmi ya kuwatumikia wanafunzi wa elimu ya juu nchini Tanzania 
Na Exaud Mtei (msaka habari) wa Habari24 blog
Uongozi mpya wa shirikisho la elimu ya vyuo vikuu nchini Tanzania TAHLISO umesema kuwa upo tayari kumuunga mkono Rais wa Tanzania Dr John pombe magufuli kwa kasi aliyoanza...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA AJIUNGA RASMI NA UKAWA,AKABIDHIWA KADI RASMI YA UANACHAMA CHADEMA.

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli akiingia kwenye ukumbi wa mikutano ndani ya hotel ya Bahari Beach jijini Dar,kwenye mkutano wa Wanahabari jioni ya leo. Mh.Lowassa akiingia kwenye Hoteli Bahari Beach  kwa ajili ya kutangaza adhima yake ya kujiunga na UKAWA. Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa ametangaza kujiunga rasmi na Umoja wa Katiba (UKAWA) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) . Mh.Lowassa akiwa na viongozi wa UKAWA  katika Hoteli ya Bahari Beach Hoteli...

 

9 years ago

GPL

MGAWANYO RASMI WA MAJIMBO YA UKAWA

Mara
Rorya CDM
Tarime Mjini CDM
Tarime Vijijini CDM
Musoma Vijijini CDM
Butiama CDM
Bunda Mjini CDM
Mwibara CDM
Musoma Mjini CDM
Bunda Vijijini CDM
Simiyu
Bariadi CDM
Maswa magharibi CDM
Maswa mashariki CDM
Kisesa CDM
Meatu CDM
Itilima CDM
Busega CUF
Shinyanga
Msalala CDM
Kahama Mjini CDM
Kahama Vijijini CDM
Shinyanga Mjini CDM
Kishapu CDM
Ushetu CDM
Mwanza
Ukerewe CDM
Magu CDM
Nyamagana CDM
Kwimba...

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa wasaini rasmi makubaliano

Viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), jana walifikia maridhiano ya kusimamisha mgombea mmoja katika ngazi ya udiwani atakayeungwa mkono na vyama vinne vinavyounda umoja huo.

 

9 years ago

Mtanzania

Kimbau atua rasmi Ukawa

Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Omari Kimbau,  ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF).

Akizungumza Dar es Salaam jana, Kimbau alisema ameamua kujiunga na CUF baada ya kuchoshwa na ubakaji wa demokrasia ndani ya CCM.

Kimbau ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa muda mrefu wa Mafia, Kanali Shomari Kimbau, alisema haki ya wananchi wa Mafia imetekwa na watu wachache wenye fedha.

“Mimi na familia yangu, rafiki zangu tumeamua...

 

10 years ago

GPL

LOWASSA SASA RASMI UKAWA

Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa (kulia) akiwa na Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu wakiwa katika mazungumzo walipokutana hivi karibuni jijini Dar. BAADA ya vuta nikuvute katika vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuhusu kukubaliwa au kutokubaliwa kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa kujiunga na umoja huo, hatimaye mwanasiasa huyo maarufu nchini amekubaliwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa atangaza rasmi kujiunga na Ukawa

Aliyekuwa waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametangaza rasmi leo kuhama CCM

 

9 years ago

Vijimambo

NCCR-MAGEUZI LEO IMEJIONDOA RASMI "UKAWA"


Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-MAGEUZI, Reticia Ghati Mosore akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari katika Hoteli ya Land Mark jijini Dar es Salaam muda huu kuhusiana na ukiukwaji wa taratibu katika umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na kutangaza kuendelea na mapambano nje ya umoja huo wa vyama pinzani. Katibu Mkuu wa NCCR-MAGEUZI, Mosena Nyambabe akizungumza na waandishi wa habari juu ya hatima yao ya kupambana kama wenyewe NCCR-MAGEUZI bila ya UKAWA na kuwa chama cha Demokrasia...

 

10 years ago

GPL

UKAWA WAJITOA RASMI BUNGENI, WAONDOKA MJINI DODOMA

UMOJA wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya wananchi UKAWA leo umetangaza rasmi kususia vikao vya bunge vilivyobaki kwa madai ya kukiukwa kwa kanuni za bunge. Akitangaza msimamo huo mjini Dodoma katika mkutano na waandishi wa habari, kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh. Freeman Mbowe amesema wabunge wote kutoka katika vyama vinavyounda umoja huo hawataingia tena bungeni licha ya baadhi yao kuwa hawajaadhibiwa. Umoja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani