Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa atangaza rasmi kujiunga na Ukawa

Aliyekuwa waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametangaza rasmi leo kuhama CCM

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MHE.EDWARD LOWASSA AKARIBISHWA RASMI KUJIUNGA NA UKAWA.,MGOMBEA URAIS KUTANGAZWA AGOSTI 4

 Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi Mhe.James Mbatia (pichani kati) akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari mapema leo mchana kwenye makao makuu ya chama cha CUF jijini Dar,akiwa sambamba na baadhi ya viongozi wengine wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA),pichani kushoto ni Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA,Mhe,Freeman Mbowe,Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha CUF-Prof.Ibrahim Lipumba na wa pili kulia ni Mwenyekitiwa chama cha NLD Dkt.Emmanuel Makaidi.Katika mkutano huo ulizungumzia...

 

9 years ago

Mwananchi

Balozi Mwapachu arudisha kadi atangaza kujiunga Ukawa

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na kada wa CCM, Balozi Juma Mwapachu leo amerudisha kadi ya uanachama katika ofisi za CCM Kata ya Mikocheni jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA AJIUNGA RASMI NA UKAWA,AKABIDHIWA KADI RASMI YA UANACHAMA CHADEMA.

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli akiingia kwenye ukumbi wa mikutano ndani ya hotel ya Bahari Beach jijini Dar,kwenye mkutano wa Wanahabari jioni ya leo. Mh.Lowassa akiingia kwenye Hoteli Bahari Beach  kwa ajili ya kutangaza adhima yake ya kujiunga na UKAWA. Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa ametangaza kujiunga rasmi na Umoja wa Katiba (UKAWA) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) . Mh.Lowassa akiwa na viongozi wa UKAWA  katika Hoteli ya Bahari Beach Hoteli...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Breaking News: Sumaye Ajivua CCM rasmi na kujiunga n UKAWA

Habari tulizozipata live kutoka kituo cha ITV ni kwamba Waziri wa zamani wa serikali ya Mkapa, ameamua rasmi kujitoa CCM baada ya kutotendewa haki na chama hicho. ” Sijiungi na upinzani kwa maslahi binafsi,sitaki cheo,sijachukua pesa, […]

The post Breaking News: Sumaye Ajivua CCM rasmi na kujiunga n UKAWA appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

GPL

LOWASSA SASA RASMI UKAWA

Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa (kulia) akiwa na Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu wakiwa katika mazungumzo walipokutana hivi karibuni jijini Dar. BAADA ya vuta nikuvute katika vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuhusu kukubaliwa au kutokubaliwa kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa kujiunga na umoja huo, hatimaye mwanasiasa huyo maarufu nchini amekubaliwa...

 

9 years ago

Vijimambo

LINDI WAONYESHA MAHABA YA DHATI KWA LOWASSA, WANACCM ZAIDI YA ELFU 3 WA JIMBO LA MTAMA WARUDISHA KADI NA KUJIUNGA UKAWA

Umati wa Wananchi wa Lindi Mjini, wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili, Mkoani Lindi leo Septemba 23, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, LINDI.Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia Wananchi, katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani