Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AMANI OLE SILANGA ATANGAZA RASMI KUJIUNGA NA CCM

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Lowassa atangaza rasmi kujiunga na Ukawa

Aliyekuwa waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametangaza rasmi leo kuhama CCM

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE MWINGINE WA JIMBO LA OLE KWA TIKETI YA CUF AOMBA KUJIUNGA NA CCM


Akiwa katika Mkutano Mkuu wa CCM wa Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba Zanzibar Ndugu Humphrey Polepole amepokea maombi aya kujiunga na CCM ya Mbunge mwingine wa CUF Ndugu Juma Hamad Omari Mbunge wa Jimbo la Ole.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Breaking News: Sumaye Ajivua CCM rasmi na kujiunga n UKAWA

Habari tulizozipata live kutoka kituo cha ITV ni kwamba Waziri wa zamani wa serikali ya Mkapa, ameamua rasmi kujitoa CCM baada ya kutotendewa haki na chama hicho. ” Sijiungi na upinzani kwa maslahi binafsi,sitaki cheo,sijachukua pesa, […]

The post Breaking News: Sumaye Ajivua CCM rasmi na kujiunga n UKAWA appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa Kahama, James David Lembeli aondoka CCM na kujiunga rasmi na CHADEMA

Aliyekuwa Mbunge wa Kahama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), James David Lembeli (kushoto) akiingia ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Dar es Salaam leo asubuhi akiwa ameongozana na mtoto wake, Wizilya Lembeli wakati akienda kutangaza kuondoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, James David Lembeli, akizungumza na waandishi wa habari Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Dar es Salaam leo...

 

10 years ago

GPL

MBUNGE WA KAHAMA, JAMES DAVID LEMBELI AONDOKA CCM NA KUJIUNGA RASMI NA CHADEMA‏

Aliyekuwa Mbunge wa Kahama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), James David Lembeli (kushoto) akiingia ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Dar es Salaam leo asubuhi akiwa ameongozana na mtoto wake, Wizilya Lembeli wakati akienda kutangaza kuondoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, James David Lembeli, akizungumza na waandishi...

 

10 years ago

Michuzi

BREEKING NEWSSSSS:MBUNGE WA KAHAMA, JAMES DAVID LEMBELI AONDOKA CCM NA KUJIUNGA RASMI NA CHADEMA

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, James David Lembeli, akizungumza na waandishi wa habari Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Dar es Salaam leo asubuhi wakati akitangaza kuondoka katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Pamoja na kutangaza nia ya kugombea ubunge kupitia chama hicho. Lembeli akizungumza na wanahabari. Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo.
KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: MBUNGE WA KAHAMA, JAMES DAVID LEMBELI AONDOKA CCM NA KUJIUNGA RASMI NA CHADEMA


Aliyekuwa Mbunge wa Kahama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), James David Lembeli (kushoto) akiingia ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Dar es Salaam leo asubuhi akiwa ameongozana na mtoto wake, Wizilya Lembeli wakati akienda kutangaza kuondoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, James David Lembeli, akizungumza na waandishi wa habari Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Dar es Salaam leo asubuhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani