Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBUNGE MWINGINE WA JIMBO LA OLE KWA TIKETI YA CUF AOMBA KUJIUNGA NA CCM


Akiwa katika Mkutano Mkuu wa CCM wa Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba Zanzibar Ndugu Humphrey Polepole amepokea maombi aya kujiunga na CCM ya Mbunge mwingine wa CUF Ndugu Juma Hamad Omari Mbunge wa Jimbo la Ole.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

MBUNGE WA JIMBO LA OLE ATIMKIA CCM NA ZAIDI YA WANACHAMA 564 KUMFUATA

  Juma Hamad Omari  ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ole, Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kwa tiketi ya CUF ameomba kujiunga na CCM na kujivua vyeo vyake vyote ndani ya CUF.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Chama cha Mapinduzi-CCM, Mbunge huyo akiambatana na Wanachama wa CUF na ACT 564 amepokelewa na   Katibu Mwenezi wa CCM Taifa, Humphrey Polepole.

 

9 years ago

Michuzi

WAGOMBEA UBUNGE NA UWAKILISHI JIMBO LA TUNGUU KWA TIKETI CCM WANDAA BONANZA LA MICHEZO MBALIMBALI KWA WANAWAKE WA JIMBO HILO

 Washiriki wa mchezo wa kukuna nazi wakishindana katika Bonanza la michezo ya Jimbo la Tunguu yaliyofanyika kiwanja cha Bungi Mkoa wa Kusini Unguja. Mmoja wa washiriki akifurahia kumaliza kukuna nazi. Mshiriki wa mbio za Baskeli Zainab Juma akimaliza mbio hizo akishikilia nafasi ya nne. Mgombea uwakilishi Jimbo la Tunguu kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Simai Mohommed Said akiteta kitu na Mwenyekiti wa CCM Jimbo Tunguu Khatib Ramadhan Iddi (katikati) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA WAWI CUF VISIWANI PEMBA AJIUNGA NA CCM



Akiwa katika ziara ya kukagua na kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 – 2020 Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba Zanzibar Ndugu Humphrey Polepole Katibu Mwenezi wa CCM Taifa amepokea maombi ya Mbunge wa Jimbo la Wawi kwa tiketi ya CUF kuomba kujiunga na CCM.

Hatua hiyo imekuja baada ya Ndugu Ahmed Juma Ngwali kuusimamisha msafara wa Ndugu Polepole, kuomba kujiunga na CCM na kutangaza kujivua nafasi zake zote ndani ya Chama cha CUF.

 

10 years ago

Vijimambo

Aliyekuwa mbunge wa viti maalum kwa tiketi ya CUF ajiunga na ACT wazalendo

Aliyekuwa Mbunge wa viti maalum Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Amina Abdallah Amour amekihama chama chake cha CUF na kujiunga rasmi na chama cha AcCT Wazalendo mjini Zanzibar ambapo tayari amepewa kadi ya uanachama wa ACT leo hii

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHUMBUNI KWA TIKETI YA CCM AWATAKA WANANCHI KUJIANDAA NA MAENDELEO



Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Perera Ame Silima akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakati wa mkutano wa Kampeni wa jimbo hilon uliofanyika katika viwanja vya mpira Bamata Kwamtipura Unguja akimuombea Kura Mbunge wa Jimbo hilo Ussi Salum Pondeza AMJADI na Mwakilishi Miraji Kwaza kwa Wananchi wa Chumbuni. Viongozi wa CCM Wilaya ya Amani Unguja wakimsikiliza aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Mhe Perera Ame Silima akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Chumbuni katika mkutano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani