Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LINDI WAONYESHA MAHABA YA DHATI KWA LOWASSA, WANACCM ZAIDI YA ELFU 3 WA JIMBO LA MTAMA WARUDISHA KADI NA KUJIUNGA UKAWA

Umati wa Wananchi wa Lindi Mjini, wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili, Mkoani Lindi leo Septemba 23, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, LINDI.Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia Wananchi, katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NGOME YA CHADEMA NDANI YA JIMBO LA CHALINZE YAANZA KUPANGUKA,WAWILI WARUDISHA KADI KWA RIDHIWANI KIKWETE

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akipokea moja ya kati ya mbili ya Kadi za Chadema kutoka kwa aliekuwa Mwanachama wa Chadema,Mrisho Issa mkazi wa Kijiji cha Msata,ndani ya Jimbo la Chalinze.Mwingine alierudisha kadi ni Kassim Msakamali (hayupo pichani). Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete (katikati) akiwainua mikono Wanachama wapya wa Chama cha...

 

9 years ago

Mwananchi

Balozi Mwapachu arudisha kadi atangaza kujiunga Ukawa

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na kada wa CCM, Balozi Juma Mwapachu leo amerudisha kadi ya uanachama katika ofisi za CCM Kata ya Mikocheni jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA APATA WADHAMINI ZAIDI YA ELFU SABA MKOANI SHINYANGA

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na mtoto mwenye ualbino, Kabula Zacharia, anayetunzwa kwenye kituo cha kulea watu wenye mahitaji maalum cha Buhangija mkoani Shinyanga, mara baada ya kupata wana CCM wa kumdhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba chama kimteue kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Mh. Lowassa ambaye yuko kanda ya ziwa kutafuta wadhamini, alivunja rekodi ya kupata wadhamini 7,114,...

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE MKOANI LINDI WATAKIWA KUKAMATIA FURSA KWA KUJIUNGA NA CHF-RC LINDI

MKUU WA MKOA WA LINDI MWANTUMU MAHIZA AKIWASISITIZA WASHIRIKI WA KONGAMANO LA WANAWAKE LILILOWAKUTANISHA TAKRIBANI WASHIRIKI WANAWAKE 360 KUTOKA WILAYA 6 ZA ,KUTUMIA MAFUNZO HAYO KUJIKWAMUA KIUCHUMI KWANI MIONGONI MWA WALIYOFUNDISHWA,UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI,KILIMO CHA MWANI NA MENGINEYO AMBAPO PIA KWA KUONYESHA DHAMIRA YA DHATI YA KUMKOMBOA MWANAMKE KIFIKRA NA KIUCHUMI ALIWATAKA KUHAKIKISHA WANAJIUNGA CHF ILI WAWEZE KUPATA HUDUMA ZA MATIBABU KWA GHARAMA NAFUU,KAULI MBIU YA MAFUNZO HAYO...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA AHITIMISHA ZIARA YA KUTAFUTA WANACCM WA KUMDHAMINI MKOANI MOROGORO LEO, ADHAMINIWA NA WANACCM 104,038

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini, Fikiri Juma, pindi alipowasili kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Morogoro, leo Juni 29, 2015 kwa ajili ya kukabidhiwa orodha ya majina ya WanaCCM waliomdhani ili apate ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro, Innocent Kalageris. Mh. Lowassa...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa atangaza rasmi kujiunga na Ukawa

Aliyekuwa waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametangaza rasmi leo kuhama CCM

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa ajiunga rasmi na Ukawa, akabidhiwa kadi ya uanachama Chadema

Lowassa ametangaza uamuzi huo leo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani