Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA APATA WADHAMINI ZAIDI YA ELFU SABA MKOANI SHINYANGA

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na mtoto mwenye ualbino, Kabula Zacharia, anayetunzwa kwenye kituo cha kulea watu wenye mahitaji maalum cha Buhangija mkoani Shinyanga, mara baada ya kupata wana CCM wa kumdhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba chama kimteue kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Mh. Lowassa ambaye yuko kanda ya ziwa kutafuta wadhamini, alivunja rekodi ya kupata wadhamini 7,114,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LOWASSA APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI SIMIYU, APATA WADHAMINI 5,000

 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mpinduzi (CCM) na wananchi baada ya kupokea majina ya wanachama zaidi ya 5000 waliomdhani kugombea Urais mkoani Simiyu jana. Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakicheza baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kukabidhiwa majina ya wanachama wa chama hicho zaidi ya 5000 waliomdhani kugombea Urais mkoani Simiyu. Leo  Lowassa ...

 

10 years ago

Michuzi

MH. LOWASSA AZIDI KUVUNJA REKODI YA WADHAMINI, APATA 9516 MKOANI TABORA LEO


Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM waliofika kumdhamini pamoja na wananchi wengine, kwenye viwanja vya ofisi za CCM Tabora Mjini, leo Juni 12, 2015. Mh. Lowassa amepata udhamini wa wana CCM 9516 kwa mkoani Tabora, ikiwa ni muendelezo safari yake ya kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kimteue kuwania nafasi ya urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA AZIDI KUVUNJA REKODI YA WADHAMINI, APATA 9516 MKOANI TABORA LEO


Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM waliofika kumdhamini pamoja na wananchi wengine, kwenye viwanja vya ofisi za CCM Tabora Mjini, leo Juni 12, 2015. Mh. Lowassa amepata udhamini wa wana CCM 9516 kwa mkoani Tabora, ikiwa ni muendelezo safari yake ya kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kimteue kuwania nafasi ya urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA APATA WADHAMINI LINDI, MTWARA

Mmoja wa wana CCM waliomdhamini Mh. Lowassa, mkoani Mtwara, akimuombea dua" Ni furaha tupu", mama huyu wa mkoani Mtwara, akiwa na furaha wakati akisalimiana na Mh. LowassaMh. Lowassa, akisalimiana na mzee huyu wa mkoani MtwaraMh. Lowassa, (mwenye nywele nyeupe juu kulia), akitoa shukrani zake kwa wana CCM na maelfu ya wakazi wa mkoa wa Lindi, waliofurika kwenye ofisi za ccm mkoani humo, alkipofika kuomba wana CCM wa kumdhamini. Mkoani Lindi alipata udhamini wa wana CCM 3, 279Umati wa watu...

 

10 years ago

Michuzi

NYALANDU APATA WADHAMINI MKOANI KILIMANJARO

Katibu wa Jumuiya ya vijana wa Chama cha Mapinduzi,UVCCM wilaya ya Moshi mjini ,Joel Makwaia akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu alipowasili ofisi za CCM mkoa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kutafuta wadhamini .
Waziri wa Maliasili na Utalii ,Lazaro Nyalandu akizungumza na wananchi hao ambao wengi wao ni viajana waliofika kwa ajili ya kumdhamini.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

GPL

LOWASSA APATA WADHAMINI KWA KISHINDO DAR

Lowassa akiendelea kuzungumza katika mkutano huo. Edward Lowasa akizungumza jambo katika mkutano wa leo Mkwajuni, Kinondoni, Dar. Mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi, Kingunge…

 

10 years ago

Michuzi

January makamba apata wadhamini Mkoani Njombe

Mh January Makamba na mkewe wakiwasili katika ofisi za CCM Mkoa wa Njombe  ambapo walipokelewa na wanachama wa CCM aliokuwa na kikundi cha ngomaMh January Makamba na mkewe wakisalimana na baadhi ya wanachama wa CCM katika ukumbi mdogo wa CCM mkoani Njombe.Mh January Makamba akiwaka sahihi katika kitabu cha wageni katika ofisi za CCM mkoa wa Njombe.Mh January Makamba akipokea fomu yenye majina ya wanachama wa CCM wa Njombe waliomdhamini kutoka kwa katibu wa CCM moa wa Njombe, ndugu Mponzi....

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA AENDELEZA MAFURIKO SHINYANGA SASA AFIKISHA WADHAMINI 7,114

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na motto mwenye ulemavu wa ngozi, Kabula Zacharia, anayetunzwa kwenye kituo cha kulea watu wenye ulemavu wa ngozi cha Buhangija mkoani Shinyanga, mara baada ya kupata wana CCM wa kumdhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba chama kimteue kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. . Mh. Lowassa amabaye yuko kanda ya ziwa kutafuta wadhamini, alivunja rekodi ya kupatya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa apata wadhamini Zanzibar, atembelea kaburi la Karume

Lowassa_Dunga (kusini wilaya ya kati)

Waziri Mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akiwasili ofisi za CCM, wilaya ya kati mkoa wa Kusini Unguja leo, kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwea kuwania urais kupitia CCM.

Lowassa_Kaburi la Karume3

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, (wa pili kulia), mkewe mama Regina Lowassa, (kulia) na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa mjini, Borafia Silima, (kushoto), wakitoa heshima mbele ya kaburi la hayati Mzee Abeid Amani Karume, makao makuu ya ofisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani