Lowassa apata wadhamini Zanzibar, atembelea kaburi la Karume
Waziri Mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akiwasili ofisi za CCM, wilaya ya kati mkoa wa Kusini Unguja leo, kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwea kuwania urais kupitia CCM.
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, (wa pili kulia), mkewe mama Regina Lowassa, (kulia) na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa mjini, Borafia Silima, (kushoto), wakitoa heshima mbele ya kaburi la hayati Mzee Abeid Amani Karume, makao makuu ya ofisi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWAZIRI BERNARD MEMBE ATEMBELEA KABURI LA HAYATI ABEID AMAN KARUME MJINI ZANZIBAR
10 years ago
VijimamboLOWASSA APATA WADHAMINI LINDI, MTWARA
10 years ago
GPLLOWASSA APATA WADHAMINI KWA KISHINDO DAR
10 years ago
MichuziLOWASSA APATA WADHAMINI ZAIDI YA ELFU SABA MKOANI SHINYANGA
10 years ago
MichuziLOWASSA AWEKA REKODI MPYA, SINGIDA APATA WADHAMINI 22,758
10 years ago
Dewji Blog09 Jun
Lowassa azoa wadhamini 3,000 Geita, Chato nako apata wa kutosha
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,(katikati), akipungia mkono maelfu ya wana CCM na wananchi wengine waliofika kwenye ofisi za CCM wilayani Geita Juni 8, 2015, kwa nia ya kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015; (Picha zote na K-VIS MEDIA)
Wakazi wa wilaya ya Geita, wakiwa juu ya nyumba na juu ya mti (picha ya chini), ili kumuona Waziri Mkuu wa zamani na...
10 years ago
GPLLOWASSA APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI SIMIYU, APATA WADHAMINI 5,000
10 years ago
MichuziMH. LOWASSA AZIDI KUVUNJA REKODI YA WADHAMINI, APATA 9516 MKOANI TABORA LEO
Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM waliofika kumdhamini pamoja na wananchi wengine, kwenye viwanja vya ofisi za CCM Tabora Mjini, leo Juni 12, 2015. Mh. Lowassa amepata udhamini wa wana CCM 9516 kwa mkoani Tabora, ikiwa ni muendelezo safari yake ya kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kimteue kuwania nafasi ya urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
10 years ago
VijimamboLOWASSA AZIDI KUVUNJA REKODI YA WADHAMINI, APATA 9516 MKOANI TABORA LEO