Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA AWEKA REKODI MPYA, SINGIDA APATA WADHAMINI 22,758

 Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wea Monduli, Mh. Edward Lowassa, akitoa hotuba ya shukrani kwenye makao makuu ya CCM mkoa wa Sin gida, baada ya kupata wadhamini kufuatia kucvhukua fomu za kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Mh. Lowassa, ameweka rekodi mpya baada ya kupata wadhamini 22, 758. Tangu aanze kutafuta wadhamini mapema mwezi huu Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HUWEZI ZUIA MAFURIKO KWA MKONO, LOWASSA AWEKA REKODI MPYA YA WADHAMINI SINGIDA, 22,758 WAMDHAMINI

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akionyesha furaha, wakati katibu wa CCM wilaya ya Singida mjini, Magdalena Daniel Ndwete, alipotangaza wana CCM 22, 758 kutoka mkoa wa Singida, wamemdhamini katika harakati zake za kuomba kuteuliwa kuwania urais kupitia CCM, kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Lowassa alikuwa mkoani Singida, Jumanne Juni 16, 2015 kutafuta wadhamini kabla ya kuelekea Shinyanga ambako alishiriki katika mazishi...

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA AZIDI KUVUNJA REKODI YA WADHAMINI, APATA 9516 MKOANI TABORA LEO


Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM waliofika kumdhamini pamoja na wananchi wengine, kwenye viwanja vya ofisi za CCM Tabora Mjini, leo Juni 12, 2015. Mh. Lowassa amepata udhamini wa wana CCM 9516 kwa mkoani Tabora, ikiwa ni muendelezo safari yake ya kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kimteue kuwania nafasi ya urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa...

 

10 years ago

Michuzi

MH. LOWASSA AZIDI KUVUNJA REKODI YA WADHAMINI, APATA 9516 MKOANI TABORA LEO


Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM waliofika kumdhamini pamoja na wananchi wengine, kwenye viwanja vya ofisi za CCM Tabora Mjini, leo Juni 12, 2015. Mh. Lowassa amepata udhamini wa wana CCM 9516 kwa mkoani Tabora, ikiwa ni muendelezo safari yake ya kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kimteue kuwania nafasi ya urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ronaldo ajivunjia rekodi, aweka rekodi mpya

IGxwi

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mchezaji bora wa dunia mwaka 2014 na mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo (pichani)ameweka rekodi mpya katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA baada ya hapo jana kufunga goli 4 katika mchezo kati ya Real na Malmo.

Magoli ya Ronaldo yalifungwa katika dakika ya 39, 47, 50 na 58 na kufanikiwa kufikisha magoli 11 katika michezo ya makundi rekodi ambayo ilikuwa haijawahi kufikiwa na mchezaji yoyote.

Kabla ya kuweka rekodi hiyo mpya, Ronaldo alikuwa na...

 

9 years ago

Michuzi

Dar Live na Shangwe za Kuukaribisha Mwaka Mpya 2016, Christian Bella Aweka Rekodi Mpya!

bella (69)Bella akicheza na mashabiki wakebella (71)bella (73)Shoo ikinogabella (74)Bella na mashabiki jukwaanibella (75)Mashabiki wakizidi kupagwa.PICHA NA MUSA MATEJA/GPLKwa picha zaidiBOFA HAPA pia BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA APATA WADHAMINI LINDI, MTWARA

Mmoja wa wana CCM waliomdhamini Mh. Lowassa, mkoani Mtwara, akimuombea dua" Ni furaha tupu", mama huyu wa mkoani Mtwara, akiwa na furaha wakati akisalimiana na Mh. LowassaMh. Lowassa, akisalimiana na mzee huyu wa mkoani MtwaraMh. Lowassa, (mwenye nywele nyeupe juu kulia), akitoa shukrani zake kwa wana CCM na maelfu ya wakazi wa mkoa wa Lindi, waliofurika kwenye ofisi za ccm mkoani humo, alkipofika kuomba wana CCM wa kumdhamini. Mkoani Lindi alipata udhamini wa wana CCM 3, 279Umati wa watu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa avunja rekodi ya kujizolea wadhamini 33,780 mkoa wa Kilimanjaro

DSC_7753

Mh. Lowassa, aklipokea sehemu ya fomu zilizojazwa na wana CCM waliomhamini kwenye ofisi kuu za chama hicho mkoani Kilimanjaro Alhamisi J 18, 2015. (Pichan na K-VIS MEDIA).

DSC_7944

Mkazi huyu wa Moshi, akiwa amejishika kichwa baaa ya kutoamini macho yake kutokana na umati mkubwa wa watu waliofurika kwenye viwanja vya CCM mkoani Kilimanjaro wakati Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, alipofika kwenye ofisi hizo kuomba wadhamini baada ya kuchukuaf omu za kuomba CCM imteue...

 

10 years ago

GPL

LOWASSA APATA WADHAMINI KWA KISHINDO DAR

Lowassa akiendelea kuzungumza katika mkutano huo. Edward Lowasa akizungumza jambo katika mkutano wa leo Mkwajuni, Kinondoni, Dar. Mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi, Kingunge…

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkenya aweka rekodi mpya ya Marathon

Mwanariadha wa Kenya Dennis Kimeto amevunja rekodi ya dunia katika mbio za Marathon mapema leo mjini Berlin nchini Ujerumani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani