Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA SASA RASMI UKAWA

Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa (kulia) akiwa na Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu wakiwa katika mazungumzo walipokutana hivi karibuni jijini Dar. BAADA ya vuta nikuvute katika vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuhusu kukubaliwa au kutokubaliwa kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa kujiunga na umoja huo, hatimaye mwanasiasa huyo maarufu nchini amekubaliwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Lowassa sasa rasmi Ukawa,muda wowote kutangazwa mgombea urais

>Katika dakika za mwishomwisho wakati wa mchakato wa kuwania urais kwa tiketi ya CCM, habari za mmoja wa wagombea aliyekuwa na nguvu katika kinyang’anyiro hicho, Edward Lowassa kwamba angeenguliwa zilivuma mno na kuibua swali la atakatwa hakatwi?

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA AJIUNGA RASMI NA UKAWA,AKABIDHIWA KADI RASMI YA UANACHAMA CHADEMA.

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli akiingia kwenye ukumbi wa mikutano ndani ya hotel ya Bahari Beach jijini Dar,kwenye mkutano wa Wanahabari jioni ya leo. Mh.Lowassa akiingia kwenye Hoteli Bahari Beach  kwa ajili ya kutangaza adhima yake ya kujiunga na UKAWA. Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa ametangaza kujiunga rasmi na Umoja wa Katiba (UKAWA) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) . Mh.Lowassa akiwa na viongozi wa UKAWA  katika Hoteli ya Bahari Beach Hoteli...

 

10 years ago

Mwananchi

Kambi ya Lowassa sasa rasmi Chadema

Sasa ni rasmi kwamba kambi ya aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Edward Lowassa imeamua kuachana na chama hicho baada ya madiwani 18 kutangaza kuhamia Chadema, huku mratibu wa wanachama wanaomuunga mkono kada huyo wa CCM kuamua kujiunga na vyama vinavyounda Ukawa.

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa atangaza rasmi kujiunga na Ukawa

Aliyekuwa waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametangaza rasmi leo kuhama CCM

 

9 years ago

GPL

KAMPENI ZA URAIS… JK, LOWASSA SASA VITANI RASMI

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Edward Lowassa wakati akiwa CCM. Na Neophitius Kyaruzi WAKATI kampeni za uchaguzi mkuu zinatarajiwa kuanza kesho kwa mujibu wa ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Ngoyai Lowassa na Rais Jakaya Kikwete wapo katika vita kali ya kisiasa. Vita hiyo ambayo kwa sasa ipo dhahiri imetokana uhusiano mbaya kati yao tangu...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa ajiunga rasmi na Ukawa, akabidhiwa kadi ya uanachama Chadema

Lowassa ametangaza uamuzi huo leo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar

 

10 years ago

Michuzi

MHE.EDWARD LOWASSA AKARIBISHWA RASMI KUJIUNGA NA UKAWA.,MGOMBEA URAIS KUTANGAZWA AGOSTI 4

 Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi Mhe.James Mbatia (pichani kati) akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari mapema leo mchana kwenye makao makuu ya chama cha CUF jijini Dar,akiwa sambamba na baadhi ya viongozi wengine wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA),pichani kushoto ni Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA,Mhe,Freeman Mbowe,Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha CUF-Prof.Ibrahim Lipumba na wa pili kulia ni Mwenyekitiwa chama cha NLD Dkt.Emmanuel Makaidi.Katika mkutano huo ulizungumzia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani