Watanzania waonywa urais wa fedha, udini
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amewataka Watanzania kuwapuuza wanasiasa wenye kutaka kutumia fedha, dini, ukabila na aina yoyote ya ubaguzi kujijengea uhalali na kuombea kura katika uchaguzi mkuu ujao.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog22 Aug
Wanasiasa watahadharishwa juu ya kuwagawa watanzania kwa udini na ukabila
Mgombea mteule wa ubunge jimbo la Manyoni magharibi(CCM), Bwana Ally Masare akielezea umuhimu wa kusoma katiba iliyopo kwa sasa kwa vijana wa kambi ya UVCCM wilaya ya Manyoni kwenye shule ya sekondari Mkwese.
Mgombea mteule wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Manyoni magharibi (CCM), Ally Masare amewatahadharisha baadhi ya wanasiasa walioomba kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao,kujiepusha na kauli za kuwagawa makundi watanzania kwenye maeneo yao kwa kuhubiri ukabila na...
10 years ago
Habarileo20 May
Watanzania waonywa kuhusu amani
VIONGOZI wa dini, wanasiasa na wazee nchini wamewaonya Watanzania kujiepusha na viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani.
10 years ago
Habarileo18 Jan
Viongozi wanaodai fedha kwa wajane waonywa
MWENYEKITI wa halmashauri ya mji wa Masasi ambaye pia ni Diwani wa kata ya Nyasa, Andrew Mtumusha ametoa onyo kwa watendaji wa kata, mtaa wenye tabia ya kudai malipo kutoka kwa vikundi vya wajasiriamali wajane pale vikundi hivyo vinapohitaji huduma ikiwemo ya kupitishiwa mihtasari yao ya benki.
9 years ago
StarTV24 Oct
Watanzania waonywa dhidi ya kutumiwa na wanasiasa
WAUMINI wa dini mbalimbali nchini na Watanzania kwa ujumla wameonywa juu ya kuacha kukubali kutumiwa na wanasiasa kufanya vitendo vya kuvunja sheria siku ya uchaguzi mkuu, hali inayoweza kuleta vurugu na kuvuruga amani na utulivu
Mmoja wa viongozi wa dini ya Kiislamu mkoani Singida Shekhe Issa Nasoro amesema leo kuwa kauli kinzani za Tume ya uchaguzi, Serikali na baadhi ya wanasiasa kubaki au kuondoka vituoni baada ya kupiga kura zinapaswa kupimwa na kila mtu kutumia akili zake ili...
11 years ago
Tanzania Daima30 Jul
Wagombea urais Tucta waonywa
WAJUMBE wa mkutano mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), wametakiwa kujitambua na kujitathmini pindi wanapotaka kugombea nafasi mbalimbali katika shirikisho hilo hususani urais. Rai hiyo ilitolewa na...
9 years ago
Habarileo20 Aug
Fedha hainunui Watanzania -JK
MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amesema ujivuni wa fedha sio mali kitu, kwani mtu anaweza kununua watu wachache kwa tamaa na njaa zao, lakini hawezi kukinunua chama chote.
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Kulikoni Watanzania tudharau fedha yetu
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Utafiti: Watanzania wengi wanatunza fedha nyumbani
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Oct
Mwandosya: Fedha si kigezo cha Urais
NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya, amesema fedha si kigezo cha mtu kuteuliwa kuwania nafasi ya urais na kwamba, imani iliyojenga haina mashiko.
Amesema suala hilo limekuwa likimtatanisha na kueleza kuwa kiongozi huchaguliwa kutokana na uadilifu na uwezo wake na si kigezo cha fedha kama baadhi ya makada walivyojenga imani hiyo.
Profesa Mwandosya, ambaye ni miongoni mwa makada wa CCM wanaotajwa kwenye kinyang’anyiro cha urais mwakani, alisema imani...