Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwandosya: Fedha si kigezo cha Urais


NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya, amesema fedha si kigezo cha mtu kuteuliwa kuwania nafasi ya urais na kwamba, imani iliyojenga haina mashiko.
Amesema suala hilo limekuwa likimtatanisha na kueleza kuwa kiongozi huchaguliwa kutokana na uadilifu na uwezo wake na si kigezo cha fedha kama baadhi ya makada walivyojenga imani hiyo.
Profesa Mwandosya, ambaye ni miongoni mwa makada wa CCM wanaotajwa kwenye kinyang’anyiro cha urais mwakani, alisema imani...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Fedha zinapogeuka kigezo cha kugombea BFT!

NI Jumatatu nyingine tunakutana wadau wa Uwanja wa Kuchonga, kama ada kupeana changamoto za kimichezo, lengo likiwa ni kuchochea ufanisi katika sekta hii muhimu katika jamii. Kwanza kabla ya kuendelea,...

 

10 years ago

BBCSwahili

'Vipimo vya sketi kigezo cha Saratani'

Watafiti wanasema vipimo vya sketi ya mwanamke vinaweza kumsaidia kujua ikiwa yuko katika hatari ya kupatwa Saratani ya Matiti

 

9 years ago

Mwananchi

‘Mgogoro Z’bar usiwe kigezo cha kutudharau’

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Augustine Mahiga amekutana kwa mara ya kwanza na mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini na kusema Tanzania inaheshimu tunu za kimataifa za haki za binadamu na demokrasia na kwamba mgogoro wa Zanzibar usiwe kigezo cha baadhi ya nchi kudharau hatua kubwa za kidemokrasia zilizofikiwa.

 

11 years ago

Habarileo

Ataja kigezo kipya cha kupima maofisa elimu

SERIKALI imesema itawapima Maofisa Elimu wa Mikoa na Wilaya kwa kurudisha shuleni wanafunzi watoro kwa asilimia 100 bila kujali ana mimba au la.

 

10 years ago

Mwananchi

Kigwangala: Uwaziri si kigezo cha kuwa rais 2015

Mbunge wa Nzega (CCM), Dk Hamisi Kigwangalla ni mmoja kati ya makada vijana wa chama tawala waliotangaza nia ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2015.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kumiliki nyumba kisiwe kigezo cha kunyanyasa wapangaji !

KAMA kuna watu ambao wana hadhi zote za kuwa ‘miungu watu’ wa hapa duniani, basi ni pamoja na baadhi ya wale wenye nyumba za kupangisha hususan Jijini Dar es Salaam...

 

5 years ago

Michuzi

UGONJWA WA CORONA USIWE KIGEZO CHA WATOTO KUKOSA CHANJO


Na WAMJW - Dodoma

Serikali imeitaka jamii kuhakikisha watoto wanapata chanjo kipindi hichi chenye maambukizi ya Virusi vya Corona (Covid-19) ili wapate kinga ya magonjwa mengine.

Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma ya Afya ya Uzazi na Watoto, Dk.Ahmad Makuwani kwenye semina ya waandishi wa habari wa Mikoa ya Singida na Dodoma kuhusu huduma za chanjo nchini.

Amesema maambukizi ya Corona kwasasa yamepungua na kuwataka watanzania kutotumia ugonjwa huo kama sababu ya kutowapeleka...

 

10 years ago

Habarileo

Mwandosya arejesha fomu za urais

Profesa Mark MwandosyaWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya amerejesha fomu zake za kuwania kupeperusha bendera ya CCM katika nafasi ya urais.

 

10 years ago

Vijimambo

Mwandosya kutangaza nia ya urais Jumatatu.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya, anatarajia kutangaza nia ya kugombea urais Juni Mosi na kuchukua fomu Juni tatu mwaka huu.

Mwandosya ambaye tayari ametangaza kuacha kuwani ubunge katika jimbo la Rungwe Mashariki, anakusudia kuchukua fomu siku hiyo kuwania mbio za urais.

Profesa Mwandosya alisema sababu zilizomsukuma kuwania urais, atazitaja Juni Mosi atakapotangaza nia mkoani Mbeya.
Alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani