Wanasiasa watahadharishwa juu ya kuwagawa watanzania kwa udini na ukabila
Mgombea mteule wa ubunge jimbo la Manyoni magharibi(CCM), Bwana Ally Masare akielezea umuhimu wa kusoma katiba iliyopo kwa sasa kwa vijana wa kambi ya UVCCM wilaya ya Manyoni kwenye shule ya sekondari Mkwese.
Mgombea mteule wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Manyoni magharibi (CCM), Ally Masare amewatahadharisha baadhi ya wanasiasa walioomba kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao,kujiepusha na kauli za kuwagawa makundi watanzania kwenye maeneo yao kwa kuhubiri ukabila na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema10 Sep
Udini, ukabila ni ukaburu
KATI ya nukuu ama wosia muhimu wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kwa Watanzania ni kukataa
Mwandishi Wetu
10 years ago
Mtanzania30 Apr
Dk. Shein akemea udini, ukabila
NA AMON MTEGA, RUVUMA
RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka Watanzania wasigawanyike kwa masuala ya kidini na ukabila kwa kuwa wanaweza kuvuruga amani ya nchi.
Dk. Shein alitoa wito huo jana mjini Songea alipokuwa akizindua mbio za mwenge wa uhuru katika Uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma.
“Kuna baadhi ya makundi yamekuwa yakifanya jitihada za kuwagawa Watanzania kwa kuingiza masuala ya udini na
wengine wanaanza kueneza ukabila.
“Mambo hayo tusiyaruhusu...
9 years ago
Habarileo08 Sep
Bulembo aonya udini na ukabila
MWENYEKITI wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Abdallah Bulembo, ameonya juu ya siasa za udini na ukabila kwenye kampeni na kuitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuchukua hatua dhidi ya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.
10 years ago
Habarileo15 Sep
Udini, ukabila vyatajwa kuua Saccos Kibaha
IMEELEZWA kuwa baadhi ya Vyama vya Akiba na Mikopo (SACCOS) kwenye Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani, vimekufa kutokana na baadhi yao kuchagua viongozi kwa kuzingatia udini na ukabila.
11 years ago
Habarileo20 Jan
Mbatia ahofia udini, ukabila NCCR-Mageuzi
MWENYEKITI wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ameonya juu ya `virusi’ vya udini, ukabila na ukanda vilivyoanza kukinyemelea chama hicho na kutaka wanachama kuepuka dhambi hiyo. Aidha, ameonya kuwa chama hicho ni sehemu ndogo tu ya nchi, hivyo ni hatari kuanza kukumbatia mambo hayo.
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Spika Makinda aonya kuhusu udini, ukabila nchini
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/iWx3Rjj7Jyk/default.jpg)
10 years ago
StarTV15 Feb
Wananchi waishio pembezoni watahadharishwa juu ya Volcano.
Na Magesa Magesa,
Arusha.
Wananchi wanaoishi pembezo mwa mlima Meru mkoani Arusha wametakiwa kuchukua tahadhari kutokana na kuwepo kwa viashiria vya kulipuka kwa volcano katika mlima huo.
Tahadhari hiyo imetolewa na wadau wa utekelezaji wa mradi wa kimataifa wa kudhibiti majanga unaotekelezwa katika nchi zaidi ya mia moja duniani ikiwemo Tanzania ambapo inaelezwa kuwa Mlima Meru una volcano ambayo miaka ya nyuma iliwahi kulipuka na sasa upo uwezekano ikalipuka tena kwa miaka...
10 years ago
Habarileo09 Feb
Watanzania waonywa urais wa fedha, udini
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amewataka Watanzania kuwapuuza wanasiasa wenye kutaka kutumia fedha, dini, ukabila na aina yoyote ya ubaguzi kujijengea uhalali na kuombea kura katika uchaguzi mkuu ujao.