Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


wosia wa baba wa taifa dhidi ya ukabila na udini katika kipindi cha uchaguzi mkuu

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BASATA YAONYA LUGHA CHAFU, MAADILI HUSUSAN KATIKA KIPINDI HIKI CHA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

KATIKA siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la wasanii kuvunja maadili, kukaidi adhabu na kutumia lugha chafu kwa makusudi katika kazi za Sanaa hususan muziki hali ambayo imezua malalamiko, masikitiko na hofu kwa jamii ambayo ni walaji wa kazi za Sanaa.
Lugha hiyo chafu ambayo inajidhihirisha kwa matusi ya wazi, maneno ya uchochezi, kashfa, kejeli, dharau na udhalilishaji wa kada mbalimbali za kijamii wakiwemo viongozi wa kitaifa inaonesha wazi kulenga katika kuigawa jamii na kufifisha...

 

9 years ago

Vijimambo

UJUMBE WANGU KWA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA KATIKA KUELEKEA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI MKUU OCTOBER 25

Lucy Patrick
Kalamu yangu mdomo wangu leo nataka nizungumze na wanahabari wenzangu waandishi na wataangazaji pia nataka mjue kwambaa karama hii au kipaji hiki tumepewa sio kwamba sisi tulistahili sana kuliko wengine hapana  ni kwamba tuliaminiwa kwamba tunaweza kutumia midomo yetu na kalamu zetu katika kusema na kuandika ukweli ili tuweze kuelimisha,kutoa habari na hata kuburudisha ikiwezeekana naomba niwashauri tutumie karama zetu vizuri tuache ushabiki ambao hautakuwa na manufaa yeyote kwa...

 

11 years ago

Michuzi

wosia wa baba wa taifa

Hotuba ya Mwalimu Nyerere hoteli ya  Kilimanjaro jijini Dar es salaam June 14, 1994

 

10 years ago

GPL

WOSIA WA BABA WA TAIFA VIONGOZI TUNAOWATAKA-5

TUNAENDELEA kuwaletea hotuba ya Baba wa Taifa ambaye ni Rais wa Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye aliitoa Mbeya kwenye kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika kitaifa katika Uwanja wa Sokoine Mei, 1995. Endelea kumsoma: Tukasema, ni nchi ambako kila mtu anafanya kazi. Kama ni mkulima, anafanya kazi; kama ni mfanyakazi, anafanya kazi. Lililokuwa la msingi na linalotawala ni mfanyakazi: Maslahi...

 

9 years ago

Raia Mwema

Udini, ukabila ni ukaburu

KATI ya nukuu ama wosia muhimu wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kwa Watanzania ni kukataa

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mtanzania

Dk. Shein akemea udini, ukabila

Dk.-Ali-Mohamed-SheinNA AMON MTEGA, RUVUMA

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka Watanzania wasigawanyike kwa masuala ya kidini na ukabila kwa kuwa wanaweza kuvuruga amani ya nchi.
Dk. Shein alitoa wito huo jana mjini Songea alipokuwa akizindua mbio za mwenge wa uhuru katika Uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma.
“Kuna baadhi ya makundi yamekuwa yakifanya jitihada za kuwagawa Watanzania kwa kuingiza masuala ya udini na
wengine wanaanza kueneza ukabila.
“Mambo hayo tusiyaruhusu...

 

9 years ago

Habarileo

Bulembo aonya udini na ukabila

MWENYEKITI wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Abdallah Bulembo, ameonya juu ya siasa za udini na ukabila kwenye kampeni na kuitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuchukua hatua dhidi ya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.

 

11 years ago

Habarileo

Mbatia ahofia udini, ukabila NCCR-Mageuzi

MWENYEKITI wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ameonya juu ya `virusi’ vya udini, ukabila na ukanda vilivyoanza kukinyemelea chama hicho na kutaka wanachama kuepuka dhambi hiyo. Aidha, ameonya kuwa chama hicho ni sehemu ndogo tu ya nchi, hivyo ni hatari kuanza kukumbatia mambo hayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani