Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIPINDI MAALUM CHA ZIARA YA KATIBU MKUU KIONGOZI KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Ratiba ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue Hospitali ya Muhimbili kesho

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue atafanya ziara katika Hospitali ya Taifa Mhimbili Kesho Jumatatu (23 Novemba, 2015) kuanzia majira ya saa nne asubuhi.
Ziara hiyo ni kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli aliyeagiza fedha zilizochangwa ajili ya hafla ya wabunge zitumike kununulia vitanda vya wagonjwa katika hospitali hiyo.


Gerson Msigwa

Kaimu Mkurugenzi wa Mawasilino, IKULU


20 Novemba, 2015

 

10 years ago

Vijimambo

KIPINDI CHA MBONI SHOW CHAAZIMISHA MIAKA MITATU NA KUTOA MSAADA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI, DAR

 Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba akimkabidhi Mkuu wa Idara ya Uzazi na Magonjwa ya Akina mama wa hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dokta Mathew Kallaga (aliyepokea kwa niaba ya uongozi) vifaa mbali mbali vyenye thamani ya Tshs. Milioni saba alivyotoa kwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya miaka mitatu ya kipindi hicho. Kila mwaka Kipindi cha Mboni huwa kinaadhimisha kwa kutoa msaada sehemu mbali mbali ikiwa ni mpango wake wa kurudisha fadhira...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kipindi cha Mboni show chaazimisha miaka mitatu kwa kutoa msaada Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar

IMG_0995

 Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba akimkabidhi Mkuu wa Idara ya Uzazi na Magonjwa ya akina mama wa hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dokta Mathew Kallaga (aliyepokea kwa niaba ya uongozi) vifaa mbali mbali vyenye thamani ya Tshs. Milioni saba alivyotoa kwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya miaka mitatu ya kipindi hicho. Kila mwaka Kipindi cha Mboni huwa kinaadhimisha kwa kutoa msaada sehemu mbali mbali ikiwa ni mpango wake wa kurudisha fadhira...

 

10 years ago

GPL

KIPINDI CHA MBONI SHOW CHAAZIMISHA MIAKA MITATU KWA KUTOA MSAADA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI, DAR‏

 Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba akipongezwa meneja wa Jengo la Wazazi, Sister Amina Mwakuluzo kwa moyo aliyouonyesha. Kila mwaka Kipindi cha Mboni huwa kinaadhimisha kwa kutoa msaada sehemu mbali mbali ikiwa ni mpango wake wa kurudisha fadhira kwa jamii ambapo mwaka huu aliungwa mkono na PSPF, Nakiete Pharmacy, Fadhaget Sanitarium Clinic pamoja Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda.  Mkurugenzi wa Mboni Show,...

 

11 years ago

Michuzi

JK AZINDUA KITUO CHA MOYO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO

: Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People's Congress Mhe. Chen Changzhi wakipata maelezo ya utendaji wa mashine katika chumba cha wagonjwa mahututi  (ICU) pamoja na chumba cha uchunguzi kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo April 27, 2014

 

11 years ago

GPL

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA KITUO CHA TAIFA CHA UTUNZAJI KUMBUKUMBU (NRC) DODOMA

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Kituo cha Taifa cha Utunzaji  Kumbukumbu (NRC) Dodoma leo.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Kituo cha Taifa cha Utunzaji  Kumbukumbu (NRC) Dodoma leo.…

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete azindua rasmi kituo cha magonjwa ya Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar

h1

Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongea na mmoja wa wagonjwa watoto waliofanyiwa upasuaji kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi jana April 27, 2014.

h2

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People’s Congress Mhe. Chen Changzhi (kushoto) wakioneshwa moja ya vifaa vya kisasa vya kuchunguzia maradhi kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya...

 

9 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi Afungua Mdahalo katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili Chuo Kikuu cha Dar es salaam leo


 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na wageni waalikwa leo katika Ukumbi wa Nkrumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (ambao hawapo katika picha) jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa  Mdahalo katika kuadhimisha Siku ya MaadiliBaadhi ya wageni waalikwa katika Mdahalo wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili wakifuatilia hotuba ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipokuwa akifungua mdahalo huo leo jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Roundtable Bw.Ali Mufuruki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani