Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Udini, ukabila ni ukaburu

KATI ya nukuu ama wosia muhimu wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kwa Watanzania ni kukataa

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Bulembo aonya udini na ukabila

MWENYEKITI wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Abdallah Bulembo, ameonya juu ya siasa za udini na ukabila kwenye kampeni na kuitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuchukua hatua dhidi ya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.

 

10 years ago

Mtanzania

Dk. Shein akemea udini, ukabila

Dk.-Ali-Mohamed-SheinNA AMON MTEGA, RUVUMA

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka Watanzania wasigawanyike kwa masuala ya kidini na ukabila kwa kuwa wanaweza kuvuruga amani ya nchi.
Dk. Shein alitoa wito huo jana mjini Songea alipokuwa akizindua mbio za mwenge wa uhuru katika Uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma.
“Kuna baadhi ya makundi yamekuwa yakifanya jitihada za kuwagawa Watanzania kwa kuingiza masuala ya udini na
wengine wanaanza kueneza ukabila.
“Mambo hayo tusiyaruhusu...

 

11 years ago

Habarileo

Mbatia ahofia udini, ukabila NCCR-Mageuzi

MWENYEKITI wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ameonya juu ya `virusi’ vya udini, ukabila na ukanda vilivyoanza kukinyemelea chama hicho na kutaka wanachama kuepuka dhambi hiyo. Aidha, ameonya kuwa chama hicho ni sehemu ndogo tu ya nchi, hivyo ni hatari kuanza kukumbatia mambo hayo.

 

10 years ago

Habarileo

Udini, ukabila vyatajwa kuua Saccos Kibaha

IMEELEZWA kuwa baadhi ya Vyama vya Akiba na Mikopo (SACCOS) kwenye Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani, vimekufa kutokana na baadhi yao kuchagua viongozi kwa kuzingatia udini na ukabila.

 

10 years ago

Mwananchi

Spika Makinda aonya kuhusu udini, ukabila nchini

Spika Anne Makinda amesema endapo Watanzania wataendekeza itikadi za udini na ukabila, Taifa litagawanyika na hakuna atakayenusurika na machafuko.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wanasiasa watahadharishwa juu ya kuwagawa watanzania kwa udini na ukabila

SAM_0194Mgombea mteule wa ubunge jimbo la Manyoni magharibi(CCM), Bwana Ally Masare akielezea umuhimu wa kusoma katiba iliyopo kwa sasa kwa vijana wa kambi ya UVCCM wilaya ya Manyoni kwenye shule ya sekondari Mkwese.

Mgombea mteule wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Manyoni magharibi (CCM), Ally Masare amewatahadharisha baadhi ya wanasiasa walioomba kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao,kujiepusha na kauli za kuwagawa makundi watanzania kwenye maeneo yao kwa kuhubiri ukabila na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali Bunda yakemea ukabila

MKUU wa Wilaya ya Bunda, Joshua Mirumbe, amekemea ubaguzi wa kikabila kati ya Wajaluo na Wajita, ulioanza kujitokeza katika Kijiji cha Karukekere, kilichoko wilayani Bunda, mkoani Mara. Mirumbe, alitoa onyo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ukabila wasababisha mauaji Nigeria

Watu 100 wakazi wa kijiji kimoja wameuawa katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria, katika shambulizi ambalo limehusishwa na uhasama kati ya jamii mbili

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani