Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukabila wasababisha mauaji Nigeria

Watu 100 wakazi wa kijiji kimoja wameuawa katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria, katika shambulizi ambalo limehusishwa na uhasama kati ya jamii mbili

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mauaji zaidi yatokea Nigeria

Ghasia zaidi zimetokea Kaskazini Mashariki mwa Nigeria ambapo watu 13 wameuawa baada ya watu wengine 29 kuuawa mwishoni mwa wiki.

 

11 years ago

BBCSwahili

Boko Haram waendeleza mauaji Nigeria

Wapiganaji wa kundi la Boko Haram wamekabiliana vikali na wanajeshi huku milipuko na milio ya risasi ikisikika mjini Maiduguri Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.

 

11 years ago

BBCSwahili

Boko Haram wafanya mauaji mapya -Nigeria

BBC imepata taarifa kuwa zaidi ya watu 20 maeuawa katika mashambulio katika vijiji vya jimbo la Borno.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwezi mmoja toka mauaji ya Baga Nigeria

Leo ni mwezi mmoja tangu wapiganaji wa Boko Haram waliposhambulia miji ya Baga na Doron Baga kaskazini mashariki mwa Nigeria.

 

10 years ago

Raia Mwema

Udini, ukabila ni ukaburu

KATI ya nukuu ama wosia muhimu wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kwa Watanzania ni kukataa

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mtanzania

Dk. Shein akemea udini, ukabila

Dk.-Ali-Mohamed-SheinNA AMON MTEGA, RUVUMA

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka Watanzania wasigawanyike kwa masuala ya kidini na ukabila kwa kuwa wanaweza kuvuruga amani ya nchi.
Dk. Shein alitoa wito huo jana mjini Songea alipokuwa akizindua mbio za mwenge wa uhuru katika Uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma.
“Kuna baadhi ya makundi yamekuwa yakifanya jitihada za kuwagawa Watanzania kwa kuingiza masuala ya udini na
wengine wanaanza kueneza ukabila.
“Mambo hayo tusiyaruhusu...

 

10 years ago

Habarileo

Bulembo aonya udini na ukabila

MWENYEKITI wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Abdallah Bulembo, ameonya juu ya siasa za udini na ukabila kwenye kampeni na kuitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuchukua hatua dhidi ya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali Bunda yakemea ukabila

MKUU wa Wilaya ya Bunda, Joshua Mirumbe, amekemea ubaguzi wa kikabila kati ya Wajaluo na Wajita, ulioanza kujitokeza katika Kijiji cha Karukekere, kilichoko wilayani Bunda, mkoani Mara. Mirumbe, alitoa onyo...

 

9 years ago

Habarileo

Padre akemea siasa za ukanda na ukabila

PADRE Msaidizi wa Parokia ya Mt. Aloyce Gonzaga, Jimbo Katoliki la Mbinga, Christian Mhagama amekemea tabia ya watu kuzungumzia ukanda na ukabila na kuonya kwamba jambo hilo sio jema kwa taifa na linarudisha nyuma maendeleo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani