Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WOSIA WA BABA WA TAIFA VIONGOZI TUNAOWATAKA-5

TUNAENDELEA kuwaletea hotuba ya Baba wa Taifa ambaye ni Rais wa Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye aliitoa Mbeya kwenye kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika kitaifa katika Uwanja wa Sokoine Mei, 1995. Endelea kumsoma: Tukasema, ni nchi ambako kila mtu anafanya kazi. Kama ni mkulima, anafanya kazi; kama ni mfanyakazi, anafanya kazi. Lililokuwa la msingi na linalotawala ni mfanyakazi: Maslahi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WA BABA WA TAIFA VIONGOZI TUNAOWATAKA-2

WIKI iliyopita tulianza kuwaletea hotuba ya Baba wa Taifa ambaye ni Rais wa Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye aliitoa Mbeya kwenye kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika kitaifa katika Uwanja wa Sokoine Mei, 1995. Endelea kumsoma: “Unaweza ukawa na almasi mfukoni, akaja tapeli na kijiwe kimetengenezwa kama almasi akakuambia, ‘hebu tuone almasi yako. Bwana aa! Hii ya kwako siyo...

 

11 years ago

Michuzi

wosia wa baba wa taifa

Hotuba ya Mwalimu Nyerere hoteli ya  Kilimanjaro jijini Dar es salaam June 14, 1994

 

10 years ago

Vijimambo

VIONGOZI WA ACT-WAZALENDO WATINGA NYUMBANI KWA BABA WA TAIFA

 Mtoto wa Hayati baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Andrew Nyerere, akiteta jambo na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na kuvaa kofia ya Chama cha ACT-Wazalendo wakati viongozi wa chama hicho walipofanya ziara kijijini Mwitongo Wilayani Butiama. (Picha na Said Powa)Mtoto wa Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Andrew Nyerere, akimkabidhi kofia ya CCM, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na kuvaa kofia ya Chama cha ACT-Wazalendo wakati viongozi wa chama hicho...

 

10 years ago

Habarileo

Rais Kikwete awapa wosia wa amani viongozi wa dini

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Balozi wa Vatican, Askofu Mkuu Fransisco Padilla (kushoto), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kulia) na Kaimu Mufti wa Tanzania, Shehe Abubakar Zubeir. (Picha na Ikulu).RAIS Jakaya Kikwete amewaomba viongozi wa dini nchini kuendeleza hali ya amani na utulivu uliopo nchini kwa kuhakikisha kuwa nchi inabaki na amani, kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25, mwaka huu, 2015.

 

10 years ago

Michuzi

JE WAJUA KUWA WOSIA WA MANENO NI WOSIA HALALI KISHERIA?

Wosia ni jambo kati  ya  mambo  ambayo huwasumbua watu  wengi. Sababu ya kuwasumbua  wengi  ni  lile  lile tu  kuwa  ufahamu  wa  mambo ya sheria haujawa wa kutosha  katika jamii. Tatizo la wosia limepelekea magomvi  makubwa  ya kifamlia hasa wakati  wa  misiba au baada ya misiba. Pia  wakati  mwingine ni tatizo  hili hili ambalo  limewafanya baadhi ya  watu tena ndugu  kugombea maiti. Kama watu wanaelewa vyema  habari ya wosia  na  haki  za  kila mtu katika  wosia  sioni  haja  ya  ndugu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbowe: Utabiri wa baba wa Taifa umetimia

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), taifa, Freeman Mbowe, amesema kauli aliyoihubiri Baba wa taifa, Mwalimu Julius Nyerere mara kadhaa juu ya kukosekana kwa mabadiliko ambayo watanzania waliyategemea...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA BUTIAMA LEO

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka saini kwenye kitabu cha wageni nyumbani kwa Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere,kulia ni Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na kushoto ni Chief wa Wazanaki Japhet Wanzagi. Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiongozana na watoto wa Baba wa taifa pamoja na Chief Japhet Wanzagi kuelekea kwenye kaburi la Baba wa Taifa.Wakiwa na Mashada yao kwa ajili ya kuweka kwenye kaburi la Baba wa TaifaMgombea ...

 

11 years ago

Michuzi

NAPE NNAUYE AMVAA TUNDULISU KUFUATIA KUMKASHIFU BABA WA TAIFA

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Maji Moto kwenye uwanja wa kijiji hicho mapema jana jioni,Wilayani Mlele mkoani Katavi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani