Wananchi Kilombero wamfagilia JK
Na Igamba Libonge, Kilombero
RAIS Jakaya Kikwete ameelezwa kuwa ni kiongozi aliyejitosa kikamilifu kuwakomboa Watanzania kiuchumi na kuwafanya hivi sasa watembee kifua mbele.
Kauli hiyo imetolewa na mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM kutoka wilaya ya Kilombero, Kanali Mstaafu, Haruni Kondo wakati wa sherehe maalumu ya kumpongeza Rais Kikwete kwa kufanya ziara wilayani Kilombero.
Ziara hiyo imeleta matumaini makubwa kwa wakazi wa Kilombero, hasa utimizaji wa ahadi za Rais Kikwete...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-sIZHY1Mn7AQ/U_2jJVd2tgI/AAAAAAAGCnY/bG7IGRlhas8/s72-c/unnamed%2B(35).jpg)
WANANCHI WA GAIRO WAMFAGILIA DKT. MAGUFULI
![](http://1.bp.blogspot.com/-sIZHY1Mn7AQ/U_2jJVd2tgI/AAAAAAAGCnY/bG7IGRlhas8/s1600/unnamed%2B(35).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-WLEPh5tbFF8/U_2jINAWkmI/AAAAAAAGCnQ/yw1jurSC2hg/s1600/unnamed%2B(36).jpg)
10 years ago
Mtanzania16 Mar
Wananchi Kilombero walilia umeme
Na Mwandishi Wetu, Kilombero
WANANCHI wa Kijiji cha Mpanga wilayani Kilombero mkoani Morogoro wamelalamikia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushindwa kufikisha umeme katika shule ya Sekondari ya Mtenga kijijini hapo.
Wakizungumza na MTANZANIA kwa simu jana, wananchi hao walisema hawaelewi kwa nini shule hiyo imeondolewa katika orodha ya shule zinazotarajia kupata umeme licha ya umuhimu uliopo hususan suala la matumizi ya maabara.
Akizungumza kwa niaba ya wananchi hao, mkazi wa kijiji...
9 years ago
Habarileo21 Dec
Wasanii wamfagilia Magufuli
WASANII wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo Fleva’ wamepongeza jitihada za Rais John Magufuli katika kuondoa uozo kwenye sekta mbalimbali na kuonesha imani kuwa hata katika sekta ya sanaa atawaondolea changamoto mbalimbali na kuwaletea mabadiliko.
9 years ago
Habarileo23 Dec
Madiwani Namtumbo wamfagilia Magufuli
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma limempongeza Rais John Magufuli, kutokana na hatua anazochukua zinazolenga kubana na kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za serikali na kuwachukulia hatua watumishi wanaokiuka maadili ya utumishi wa umma. Aidha, wamemshukuru Rais Magufuli kwa uamuzi wake wa kuteua wabunge wanne kuunda Baraza jipya la Mawaziri kutoka mkoa wa Ruvuma.
11 years ago
Habarileo28 Jan
Chadema wamfagilia Mbunge CCM
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), kimepongeza kazi zinazofanywa na Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani katika kutatua kero za wananchi sanjari na utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
11 years ago
Habarileo10 Apr
CCM Marekani serikali 2, wazee Z’bar wamfagilia JK
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), tawi la jijini Washington DC, Marekani wametoa tamko la kuunga mkono muundo wa serikali mbili, wakisema umewaweka Watanzania katika hali ya umoja na mshikamano kwa miaka ipatayo 50 sasa.
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Wasomi vyuo vikuu wamfagilia Profesa Tibaijuka
NA JESSICA KILEO
UMOJA wa Vyuo Vikuu nchini, umemwomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, kupuuza watu wanaobeza makadirio ya wizara yake kwa mwaka 2014/2015 aliyowasilisha Bungeni hivi karibuni.
Mwakilishi wa umoja huo kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu John, Massoro Kivuga, alisema hayo jana alipozungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Dar es Salaam.
Kivuga alisema wamejifunza mambo mengi kutoka kwa waziri huyo shujaa na...
9 years ago
MichuziTAFFA WAMFAGILIA MAGUFULI, WATAKA BANDARI KAVU ZIFUTWE
Mwandishi...