Wananchi 342 Misenyi walilia fidia
Na Mwandishi Wetu, Misenyi
WANAKIJIJI 342 wa vijiji vya Bulembo, Mushasha na Bugolola waliofanyiwa tathimini kwa ajili ya kupisha ujenzi wa Ndege wa Kimataifa wa Omukajunguti wilayani Misenyi mkoani Kagera, wamesema wanakerwa na udanganyifu mkubwa unaofanywa na Serikali juu ya malipo ya fidia kwa miaka sita sasa.
Wanakijiji hao walikutana juzi katika ofisi ya Kata ya Mushisha ili kujadili hatima yao ambapo kwa kauli moja, waliamua kuunda kamati ya watu 16 ili kufuatilia fidia ya malipo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania16 Mar
Wananchi Kilombero walilia umeme
Na Mwandishi Wetu, Kilombero
WANANCHI wa Kijiji cha Mpanga wilayani Kilombero mkoani Morogoro wamelalamikia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushindwa kufikisha umeme katika shule ya Sekondari ya Mtenga kijijini hapo.
Wakizungumza na MTANZANIA kwa simu jana, wananchi hao walisema hawaelewi kwa nini shule hiyo imeondolewa katika orodha ya shule zinazotarajia kupata umeme licha ya umuhimu uliopo hususan suala la matumizi ya maabara.
Akizungumza kwa niaba ya wananchi hao, mkazi wa kijiji...
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Wananchi Dumila ‘walilia’ makazi
5 years ago
MichuziWANANCHI WA MAKONGOLOSI CHUNYA WALILIA BARABARA
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Wananchi walilia mradi wa kilimo cha mpunga
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Mahakama yaamuru wananchi kulipwa fidia
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha, imeiamuru Halmashauri ya Wilaya ya Arusha kuwalipa fidia wananchi 43 wanaoishi kandokando ya barabara ya Mianzini hadi Timolo, ili wapishe upanuzi wa barabara hiyo yenye...
10 years ago
Habarileo10 Aug
Kikwete akerwa wananchi kutolipwa fidia stahiki
RAIS Jakaya Kikwete amewataka maofisa wa Serikali kuacha tabia ya kuwakopa wakulima masikini nchini kwa ujanjaujanja kwa kusingizia kuwa hawana fedha ya fidia mali zao ili kupisha ujenzi wa miradi mbalimbali ya Serikali.
11 years ago
Mwananchi06 May
Wananchi waidai Serikali fidia ya Sh10 bilioni
11 years ago
Mwananchi22 Dec
Malipo ya fidia yawatoa machozi wananchi Dar