Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete akerwa wananchi kutolipwa fidia stahiki

RAIS Jakaya Kikwete amewataka maofisa wa Serikali kuacha tabia ya kuwakopa wakulima masikini nchini kwa ujanjaujanja kwa kusingizia kuwa hawana fedha ya fidia mali zao ili kupisha ujenzi wa miradi mbalimbali ya Serikali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

JK akerwa polisi kubughudhi wananchi

>Rais Jakaya Kikwete jana alionekana kukerwa waziwazi na kitendo cha polisi kuwazonga na kuwasukuma wananchi waliokusanyika eneo la Jangwani kumsikiliza.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mahakama yaamuru wananchi kulipwa fidia

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha, imeiamuru Halmashauri ya Wilaya ya Arusha kuwalipa fidia wananchi 43 wanaoishi kandokando ya barabara ya Mianzini hadi Timolo, ili wapishe upanuzi wa barabara hiyo yenye...

 

9 years ago

Mtanzania

Wananchi 342 Misenyi walilia fidia

Na Mwandishi Wetu, Misenyi

WANAKIJIJI 342 wa vijiji vya Bulembo, Mushasha na Bugolola waliofanyiwa tathimini  kwa ajili ya kupisha ujenzi wa Ndege wa Kimataifa wa Omukajunguti wilayani Misenyi mkoani Kagera, wamesema wanakerwa na udanganyifu mkubwa unaofanywa na Serikali juu ya malipo ya fidia kwa miaka sita sasa.

Wanakijiji hao walikutana juzi katika ofisi ya Kata ya Mushisha  ili kujadili hatima yao ambapo kwa kauli moja, waliamua kuunda kamati ya watu 16 ili kufuatilia fidia ya malipo...

 

11 years ago

Mwananchi

Malipo ya fidia yawatoa machozi wananchi Dar

>Wananchi wa Mji Mpya Majohe, Guluka Kwalala na Ulongoni katika Manispaa ya Ilala  wameiomba Serikali kuingilia kati na kumwamuru mwekezaji wa ujenzi wa njia ya umeme wa  kilovoti 220 kutoka Somanga Mtama  mpaka Kinyerezi, Kilwa Enegy kuwalipa gharama zinazoendana na hali ya maisha ya sasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi waidai Serikali fidia ya Sh10 bilioni

Serikali imepokea maombi ya fidia ya Sh5 bilioni kutoka kwa wananchi waliochomewa nyumba na kuharibiwa vifaa mbalimbali katika vurugu zilizosababishwa na masuala ya gesi mkoani Mtwara.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mama Maria Nyerere akerwa na wanasiasa wanaomkejeli Kikwete

FAMILIA ya baba wa Taifa, Hayati mwalimu Julius Nyerere, imetoa pole kwa Rais Jakaya Kikwete, kutokana na kufanyiwa upasuaji wa tezi dume. Taarifa iliyotolewa jana na kusainiwa na mbunge wa...

 

5 years ago

CCM Blog

WANANCHI DODOMA WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUPATA FIDIA KUPISHA UJENZI WA SGR


Wananchi jijini Dodoma wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kupata fidia  baada ya maeneo yao kuwekwa katika orodha ya maeneo yanayopitiwa na mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipande cha Morogoro – Dodoma – Singida katika Kata za Ihumwa, Mkonze na Kikuyu Kusini mkoani Dodoma, hivi karibuni Mei 2020.
Zoezi hilo linahusisha fidia za nyumba na viwanja, jumla ya wananchi 2,604 wanatarajiwa kulipwa fidia yenye thamani ya zaidi ya Shilingi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu aitaka TPA kupitia upya zoezi la fidia kwa wananchi wa Kigoma

Wananchi wa Kata ya kibirizi mkoani Kigoma wakiwa na mabango yaliyolenga kumpa ujumbe Waziri Mkuu Kassim Majariwa kuhusu fidia za ujenzi wa bandari (Picha na Emmanuel Senny) (2)

Wananchi wa Kata ya kibirizi mkoani Kigoma wakiwa na mabango yaliyolenga kumpa ujumbe Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu fidia za ujenzi wa bandari. (Picha na Emmanuel Senny).

Wananchi wa Kata ya kibirizi mkoani Kigoma wakiwa na mabango yaliyolenga kumpa ujumbe Waziri Mkuu Kassim Majariwa kuhusu fidia za ujenzi wa bandari (Picha na Emmanuel Senny)

Wananchi wa Kata ya kibirizi mkoani Kigoma wakiwa na mabango yaliyolenga kumpa ujumbe Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu fidia za ujenzi wa bandari.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, akikagua soko jipya la samaki lililoko kata ya Kibirizi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji baada ya kulifungua. (Picha na Emmanuel Senny) (1)

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, akikagua soko jipya la samaki lililoko kata ya Kibirizi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani