Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi waidai Serikali fidia ya Sh10 bilioni

Serikali imepokea maombi ya fidia ya Sh5 bilioni kutoka kwa wananchi waliochomewa nyumba na kuharibiwa vifaa mbalimbali katika vurugu zilizosababishwa na masuala ya gesi mkoani Mtwara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WALIMU ARUSHA WAIDAI SERIKALI BILIONI 4

Mwenyekiti wa Chama cha Walimu mkoa wa Arusha ,Mwalimu Jovin  Kuyenga akizungumza na waandishi wa habari jana Ofisini kwake  juu ya deni la shilingi bilioni 4 wanalodai  kwa serikali, kushoto ni Katibu wa Chama cha Walimu mkoa wa Arusha, Mwalimu Hassan Saidi.

Na Woinde Shizza,ArushaCHAMA cha Walimu mkoa wa Arusha CWT wamelalamikia serikali na kuitaka kutekeleza kwa wakati madeni yao la zaidi ya billioni 4 kwani yamekuwa kikwazo katika ufanisi wa kazi hali ambayo inapelekea walimu...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima waidai Serikali Sh73 bilioni

Wakulima nchini wanaidai Serikali Sh73 bilioni baada ya kuiuzia mazao yao kwa mkopo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakandarasi barabara waidai Serikali bilioni 731/-

SERIKALI inadaiwa jumla ya sh bilioni 731 na wakandarasi mbalimbali ambao wanatekeleza miradi mbalimbali ya barabara nchini. Hayo, yalibinishwa jana na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

 

11 years ago

Habarileo

Mkemia Mkuu waidai polisi bilioni 1.2/-

OFISI ya Mkemia Mkuu wa Serikali inaidai Jeshi la Polisi deni la Sh bilioni 1.2 linalotokana na sampuli wanazozipeleka kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi na kupatikana kwa majibu kwenye vielelezo vya kesi mbalimbali.

 

10 years ago

Mwananchi

Auswa yaidai Serikali, wananchi Sh1.2 bilioni

Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Arusha (Auswa), inaidai Serikali na taasisi zake kiasi cha Sh1.2 bilioni.

 

10 years ago

Habarileo

RC ahimiza fidia ya bilioni 9.7/- Mbegani

HALMASHAURI ya wilaya ya Bagamoyo imetakiwa kuandaa vizuri tathmini ya wakazi 1,500 wa Mbegani ili waweze kulipwa fidia ya Sh bilioni 9.7 na kuondoka kwenye eneo hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makandarasi waidai serikali bil. 400/-

CHAMA cha Makandarasi Tanzania (CATA) kinaidai serikali zaidi ya sh bilioni 400, hali inayosababisha utekelezaji wa miradi mbalimbali hususan ya barabara kutekelezwa kwa kasi ndogo, kusuasua ama kusimama kabisa. Katibu...

 

10 years ago

Mtanzania

Wachina wa Magufuli waidai Serikali trilioni 1.3/-

Waziri John Magufuli

Waziri John Magufuli

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

WACHINA wa ‘samaki wa Magufuli’ walioachiwa huru wanadai meli na samaki zilizokuwamo, ambavyo vyote vina thamani ya Dola za Marekani 3,220,000.

Mbali na kutakiwa kulipa fedha hizo, pia inatakiwa kulipa Sh trilioni 1.3 ikiwa ni gharama zote, ikiwamo meli, samaki, mawakili na mabaharia wake.

Hayo yalisemwa  Dar es Salaam jana na Wakili wa Wachina hao, Kapten Ibrahim Bendera na Wakili John Mapinduzi, walipokuwa wakizungumzia hatima ya madai...

 

11 years ago

Habarileo

Wakandarasi waidai serikali bil 600/-

WAKANDARASI wanaojishughulisha na ujenzi wa barabara katika maeneo mbalimbali nchini wanaidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 600, hali inayosababisha kuzorota kwa utekelezaji wa baadhi ya miradi hiyo na mingine kusimama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani