Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakandarasi barabara waidai Serikali bilioni 731/-

SERIKALI inadaiwa jumla ya sh bilioni 731 na wakandarasi mbalimbali ambao wanatekeleza miradi mbalimbali ya barabara nchini. Hayo, yalibinishwa jana na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wakandarasi waidai serikali bil 600/-

WAKANDARASI wanaojishughulisha na ujenzi wa barabara katika maeneo mbalimbali nchini wanaidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 600, hali inayosababisha kuzorota kwa utekelezaji wa baadhi ya miradi hiyo na mingine kusimama.

 

9 years ago

Michuzi

WALIMU ARUSHA WAIDAI SERIKALI BILIONI 4

Mwenyekiti wa Chama cha Walimu mkoa wa Arusha ,Mwalimu Jovin  Kuyenga akizungumza na waandishi wa habari jana Ofisini kwake  juu ya deni la shilingi bilioni 4 wanalodai  kwa serikali, kushoto ni Katibu wa Chama cha Walimu mkoa wa Arusha, Mwalimu Hassan Saidi.

Na Woinde Shizza,ArushaCHAMA cha Walimu mkoa wa Arusha CWT wamelalamikia serikali na kuitaka kutekeleza kwa wakati madeni yao la zaidi ya billioni 4 kwani yamekuwa kikwazo katika ufanisi wa kazi hali ambayo inapelekea walimu...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima waidai Serikali Sh73 bilioni

Wakulima nchini wanaidai Serikali Sh73 bilioni baada ya kuiuzia mazao yao kwa mkopo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi waidai Serikali fidia ya Sh10 bilioni

Serikali imepokea maombi ya fidia ya Sh5 bilioni kutoka kwa wananchi waliochomewa nyumba na kuharibiwa vifaa mbalimbali katika vurugu zilizosababishwa na masuala ya gesi mkoani Mtwara.

 

11 years ago

Habarileo

Mkemia Mkuu waidai polisi bilioni 1.2/-

OFISI ya Mkemia Mkuu wa Serikali inaidai Jeshi la Polisi deni la Sh bilioni 1.2 linalotokana na sampuli wanazozipeleka kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi na kupatikana kwa majibu kwenye vielelezo vya kesi mbalimbali.

 

5 years ago

Michuzi

Barabara za lami katika Mji wa Serikali kugharimu zaidi ya Bilioni 89

Na. Frank Mvungi na Immaculate Makilika - MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara za kiwango cha lami katika mji wa Serikali utakaogharimu zaidi ya bilioni 89 ikiwa ni ahadi aliyotoa mara baada ya kutangaza Dodoma kuwa Makao Makuu ya nchi ili kutekeleza tamko alilolitoa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1973 zaidi ya miongo mine iliyopita.
Akizungumza leo Jijini Dodoma wakati akiweka jiwe la...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Fedha za mfuko wa barabara wapewe wakandarasi wazawa


NA JUMBE USMAILLY, MANYONI
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amewaagiza wahandisi, mameneja wa mikoa wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na wakurugenzi wa halmashauri kuhakikisha fedha zote zilizotolewa na Mfuko wa Barabara, kazi zake zote zitolewe kwa wakandarasi wazalendo.
Dk. Magufuli alitoa agizo hilo mjini Manyoni mkoani Singida wakati akiweka jiwe la msingi la barabara ya mjini Manyoni yenye urefu wa kilomita 2.8 inayotengenezwa kwa kiwango cha lami kwa gharama ya sh. bilioni...

 

5 years ago

Michuzi

Wakandarasi wanawake wapigwa msasa ujenzi wa barabara


 Mkufunzi wa chuo cha Teknolojia stahiki ya nguvu kazi ATTI  mbeya Richard Kansimba  akiwafundisha kwa vitendo wanawake waliokuwa kwenye mafunzo ya ujenzi na ukarabati wa barabara yaliyofanyika mkoani Morogoro namna ya kufanya vipimo vya barabara na kuweka usawa ili kuepukana na matuta yasiyo yalazima barabarani. Washiriki wa mafunzo ya ujenzi na ukarabati wa barabara wakijifunza namna ya kutumia kipimo cha mkanda (Tap Measure) kupima usawa wa barabara wakiwa katika eneo la chuo cha ujenzi...

 

9 years ago

Michuzi

DK.MAGUFULI AKIWA NA WAKANDARASI KATIKA BARABARA YA TUNDURU-MANGAKA

Maelezo ya Picha zikimuonesha Mgombea Urais Kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Mtambo maalum unao changanya Saruji, Kokoto na Udongo(Pulverizer or Rotary Mixer) katika ujenzi wa Barabara ya Kutoka Tunduru kwenda Mangaka katika eneo la Kilimasera-Matemanga km 68.2. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani