Barabara za lami katika Mji wa Serikali kugharimu zaidi ya Bilioni 89
Na. Frank Mvungi na Immaculate Makilika - MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara za kiwango cha lami katika mji wa Serikali utakaogharimu zaidi ya bilioni 89 ikiwa ni ahadi aliyotoa mara baada ya kutangaza Dodoma kuwa Makao Makuu ya nchi ili kutekeleza tamko alilolitoa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1973 zaidi ya miongo mine iliyopita.
Akizungumza leo Jijini Dodoma wakati akiweka jiwe la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogRAIS DK. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA ZA LAMI KATIKA MJI WA SERIKALI, AFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA TARURA NA OFISI ZA ZIMAMOTO MAKOLE JIJINI DODOMA, LEO
Rais Dk. John Magufuli akipiga akizindua jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo
Rais Dkt. John Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mitambo itakayotumika katika katika ujenzi wa Barabara za lami yenye jumla ya km 51.2...
5 years ago
MichuziKilomita 39 za Barabara za Lami Zaanza Kujengwa Mji wa Serikali Mtumba Dodoma
Akizungumza leo Machi 20, 2020 katika mahojiano maalum, Katibu wa Kikosi Kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali kuhamia Dodoma Bw. Meshack Bandawe amesema kuwa ujenzi huo unahusisha barabara zenye urefu wa kilomita 39 ndani ya mji huo.
“Serikali inaimarisha miundombinu ndani ya mji wa Serikali ikiwemo ujenzi wa barabara za njia mbili zenye urefu...
5 years ago
MichuziRAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA ZA LAMI KM 51.2 MJI WA SERIKALI PAMOJA NA KUFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA TARURA JIJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff kuhusu mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa ujenzi wa Barabara za...
5 years ago
MichuziBilioni 18 .62 Zanga’risha Kigoma kwa Barabara za Lami
Muonekano wa moja ya barabara za Manispaa ya Kigoma Ujiji baada ya kujengwa kwa kiwango cha lami kama ilivyokutwa Machi 29, 2020.(Picha zote na Aboubakari Kafumba MAELEZO- Kigoma).
Mzunguko wa barabara eneo la Mwanga Sokoni Manispaa ya Kigoma Ujiji kama ulivyokutwa baada ya kuimarishwa kwa miundombinu ya barabara katika Manispaa hiyo ikiwemo kuwekwa kwa taa za barabarani, maeneo ya waenda kwa miguu na ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 12 kwa kiwango cha lami.
Barabara...
10 years ago
Mwananchi09 Apr
Miradi mitatu kugharimu zaidi ya Sh20 bilioni Moro
10 years ago
Habarileo06 Sep
Barabara zaidi za lami kujengwa kuokoa muda, fedha
RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali itaendelea na jitihada za ujenzi wa barabara za lami, kupanua shughuli za kiuchumi na kuendeleza dhana ya maisha bora kwa kila Mtanzania.
5 years ago
MichuziZAIDI YA BILIONI 25 KUTUMIKA MATENGENEZO YA BARABARA
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
Wakandarasi barabara waidai Serikali bilioni 731/-
SERIKALI inadaiwa jumla ya sh bilioni 731 na wakandarasi mbalimbali ambao wanatekeleza miradi mbalimbali ya barabara nchini. Hayo, yalibinishwa jana na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
10 years ago
MichuziRFB yafanikiwa kufanya maboresho ya barabara kwa kiwango cha lami katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wa JK
Bodi ya Mfuko wa Barabara nchini(RFB) imefanikiwa kufanya maboresho ya barabara kwa kiwango cha lami katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wa Serikali ya awamu ya nne wa Mhe. Jakaya Kikwete.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam Jana Bw. Joseph Haule amesema kuwa matengenezo hayo yamefanikisha ujenzi wa barabara kuu zinazounganisha mikoa mbalimbali nchini kukamilika kwa asilimia 89 huku zile za Wilaya na Miji kwa asilimia 57.
“ kazi...