Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miradi mitatu kugharimu zaidi ya Sh20 bilioni Moro

Imeelezwa kuwa miradi ya ujenzi wa stendi ya kisasa ya mabasi na barabara na soko kuu mkoani Morogoro inatarajiwa kugharimu zaidi ya Sh20 bilioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Barabara za lami katika Mji wa Serikali kugharimu zaidi ya Bilioni 89

Na. Frank Mvungi na Immaculate Makilika - MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara za kiwango cha lami katika mji wa Serikali utakaogharimu zaidi ya bilioni 89 ikiwa ni ahadi aliyotoa mara baada ya kutangaza Dodoma kuwa Makao Makuu ya nchi ili kutekeleza tamko alilolitoa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1973 zaidi ya miongo mine iliyopita.
Akizungumza leo Jijini Dodoma wakati akiweka jiwe la...

 

10 years ago

Dewji Blog

World Vision Tanzania yatumia zaidi ya bilioni 5.3 kuboresha miradi ya Afya Singida

DSC05117

Kaimu mkuu wa mkoa wa Singida, Saidi Alli Kamanzi na DC wa wilaya ya Singida, akifungua hafla ya makabidhiano wa mradi wa afya ya mama na mtoto (SUSTAIN-MNCH). Wa kwanza kulia ni mkuu wa wilaya ya Ikungi Gichulu Charles na anayefuatia ni mwakilishi wa mkurugenzi wa shirika la World vision Tanzania, Mary Lema.

DSC05121

Baadhi ya wadau wa afya waliohudhuria hafla ya makabidhiano ya mradi wa afya ya mama na mtoto (SUSTAIN -MNCH) iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aque Vitae Resort mjini...

 

10 years ago

Mwananchi

DTB yapata faida Sh20 bilioni

Benki ya Diamond Trust (DTB) imepata faida ya Sh20 bilioni kabla ya kodi kwa hesabu za mwaka 2014, ikiwa ni ongezeko la asilimia 25 ikilinganishwa na mwaka 2013.

 

9 years ago

Mwananchi

Sh20 bilioni kujenga soko, kituo Kibaha

Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani inatarajia kutumia kiasi cha Sh20 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa soko la kisasa na kituo cha mabasi.

 

9 years ago

Mwananchi

Utafiti wa mafuta kugharimu Sh13 bilioni

Utafiti wa mafuta kwenye bonde la ufa linalopitia mikoa ya Arusha, Simiyu, Shinyanga, Tabora na Lindi unaanza leo, kwa mujibu wa Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC), James Mataragio.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miradi ya barabara Tabora kugharimu bil. 13/-

MKOA wa Tabora unatarajia kutumia zaidi ya sh bilioni 13 katika kutekeleza miradi ya barabara kwa mwaka wa fedha wa 2013/2014. Akisoma taarifa yake kwenye kikao cha Bodi ya Barabara,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miradi ya maji kugharimu bil. 238/-

MAMLAKA ya Majisafi na Majitaka ya jijini Mwanza (Mwauwasa), inatarajia kutumia euro milioni 104.5, sawa na zaidi ya sh bilioni 238.7 kwa ajili ya kujenga na kutekeleza miradi mbalimbali ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miradi ya maji nchini kugharimu trilioni 2/-

SERIKALI imetenga zaidi ya sh trilioni 2.1 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mikubwa ya maji katika miji mikuu ya kila mkoa ambayo itakuwa imekamilika ifikapo mwakani. Mipango hiyo ni...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mradi wa jengo jipya MOI kugharimu shilingi bilioni 30

1 (1)

Meneja Ustawi wa Jamii na Uhusiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) Bw. Jumaa Almasi (katikati)akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu hatua iliyofikiwa katika kupanua huduma za Taasisi hiyo ikiwemo kukamilika kwa jengo jipya la kisasa litakalokuwa na vifaa vya kisasa kama MRI ( magnetic Resonance Imaging) CT-SCAN (Computerized Tomography).kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Maelezo Bi Fatma Salum na kulia ni Afisa uhusiano wa Taasisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani