Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miradi ya maji nchini kugharimu trilioni 2/-

SERIKALI imetenga zaidi ya sh trilioni 2.1 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mikubwa ya maji katika miji mikuu ya kila mkoa ambayo itakuwa imekamilika ifikapo mwakani. Mipango hiyo ni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Miradi ya maji kugharimu bil. 238/-

MAMLAKA ya Majisafi na Majitaka ya jijini Mwanza (Mwauwasa), inatarajia kutumia euro milioni 104.5, sawa na zaidi ya sh bilioni 238.7 kwa ajili ya kujenga na kutekeleza miradi mbalimbali ya...

 

10 years ago

Habarileo

Ujenzi wa barabara kugharimu trilioni 1/-

WAZIRI wa Ujenzi Dk John MagufuliJUMLA ya Sh trilioni moja zinatarajiwa kutumika katika miradi minne tofauti ya kujenga barabara zenye jumla ya urefu wa kilomita 548 kwa kiwango cha lami katika mikoa ya Rukwa, Katavi na Mbeya.

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA KILIMO, MAJI NA MIFUGO YARIDHISHWA NA MIRADI YA MAJI ILIYOTEKELEZWA NCHINI

Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Kilimo,Maji na Mifugo Mh. Subira Mgalu (kushoto) akieleza jambo wakati walipoenda kutembembelea miradi ya Maji kanda ya Kaskazini.
Kamati ya Maji, Mifugo na Uvuvi imeridhishwa na miradi mbalimbali ya Maji iliyotekelezwa kwa kipindi cha miaka 10 ya kuwapatia wananchi huduma ya Majisafi na kupunguza tatizo la uhaba wa Maji hapa nchini. 
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa kamati ndogo ya Maji Mh. Selemani Kakoso Wakati wa ziara ya kamati katika kuangalia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miradi ya barabara Tabora kugharimu bil. 13/-

MKOA wa Tabora unatarajia kutumia zaidi ya sh bilioni 13 katika kutekeleza miradi ya barabara kwa mwaka wa fedha wa 2013/2014. Akisoma taarifa yake kwenye kikao cha Bodi ya Barabara,...

 

10 years ago

Mwananchi

Miradi mitatu kugharimu zaidi ya Sh20 bilioni Moro

Imeelezwa kuwa miradi ya ujenzi wa stendi ya kisasa ya mabasi na barabara na soko kuu mkoani Morogoro inatarajiwa kugharimu zaidi ya Sh20 bilioni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mradi wa maji kugharimu bil. 49/-

SERIKALI kupitia Wizara ya Maji, imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji safi na maji taka katika miji ya halmashauri za Geita, Sengerema na Ukerewe mkoani Mwanza (LVWATSAN II), unaogharimu...

 

10 years ago

Michuzi

Wananchi wa maeneo ya miradi ya maji watakiwa kutozembea kujadili maendeleo ya miradi

Kiongozi wa ziara ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Amina Makilagi, akieleza jambo wakati alipowasili kwenye ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Lindi tayari kukagua miradi ya maji.Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Lindi Nassor Himid na kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Lindi Mathei Makwinya.Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantumu Mahiza akiwakaribisha wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji waliotembelea mkoa huo kukagua baadhi ya miradi ya Maji iliyopo mkoani humo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji yaridhishwa na miradi ya maji ya Kibiti, Ikwiriri

1

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Nurdin Babu (kushoto) akimuongoza Kiongozi wa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya  Kilimo, Mifugo na Maji, Amina Makilagi aliyeambatana na wajumbe wengine wa kamati hiyo baada ya kuwasili ofisi za Mradi wa Maji Kibiti ulioko wilayani humo mkoani Pwani kabla ya kuukagua.Ukaguzi wa mradi huo ni sehemu ya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maji katika mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara inayofanywa na wajumbe wa Kamati hiyo.

Hussein Makame, MAELEO, Pwani

KAMATI ya Bunge ya Kilimo,...

 

10 years ago

Michuzi

Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Yatembelea Miradi ya Maji Tanzania Bara

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tz Prof. Peter Msolla na Naibu Waziri wa Maji Mh. Amosi Makalla wakifungua koki za maji kando kidogo ya manispaa ya Iringa. Kamati ya kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tz wakiongozwa na Prof. Peter Msolla na Naibu Waziri wa Maji Mh. Amosi Makalla wakikagua miundombinu ya maji katika Halmashauri ya Ilola. Mhandisi wa maji Manispaa ya Iringa akisoma taarifa ya miradi ya halmashauri ya manispaa hiyo mbele ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani